Pentagon yakiri wanajeshi wao 50 wamejeruhiwa katika shambulizi la Iran

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,881
109,190
Kukiri huko kutokea Pentagon ambapo ndipo makao makuu ya majeshi ya Marekani kunamsuta wazi wazi Rais wa Marekani Donald Trump, aliyetangza mara tu baada ya shambulizi hilo kuwa "hakuna" majeruhi wa askari wa Kimarekani na mambo yote ni shwari.

=====
Pentagon says 50 US troops injured in Iranian attack

The Pentagon has said the number of troops suffering from traumatic brain injuries (TBI) after an Iranian attack on a US base in Iraq on 8 January has risen to 50.

The new total is 16 more than previously announced.

President Donald Trump initially said no Americans were injured and cited this in his decision not to retaliate against Iran.

The attack came amid tensions over the US killing of an Iranian general.

In a statement released on Tuesday, Pentagon spokesman Lt Col Thomas Campbell said that 31 of the injured were treated in Iraq and had returned to duty, including those most recently diagnosed.

Eighteen others were sent to Germany for further evaluation and treatment, the spokesman said, while another was sent to Kuwait and had returned to duty.

Speaking last week about his initial statement that no troops had been injured in the Iranian missile strike on the Ain al-Asad base, President Trump said: "I heard that they had headaches, and a couple of other things, but I would say, and I can report, it's not very serious."

When asked about possible TBIs he said: "I don't consider them very serious injuries relative to other injuries I have seen."

The Pentagon says no Americans were killed in the incident, with most sheltering in bunkers as missiles rained down.

1580448294576.png

A defence department spokesman announced on Friday the initial figure of 34 injured, saying at the time that US Defence Secretary Mark Esper had not immediately been aware of the injuries in the days after the attack.

The non-profit organisation Iraq & Afghanistan Veterans of America criticised the Trump administration for taking so long to reveal the extent of casualties following the initial announcement.

"This is a big deal," its founder Paul Rieckhoff tweeted. "The American people must be able to trust the government to share information about our sons and daughters in harms way. Nothing is more serious and sacred."

TBIs are common in warzones, according to the US military.

The most common cause of a TBI for deployed soldiers is an explosive blast, writes the US Defense and Veterans Brain Injury Center.

They are classified as mild, moderate, severe or penetrating. A mild TBI is also known as a concussion, and can be caused by a blast's "atmospheric over-pressure followed by under-pressure or vacuum".

The air vacuum is capable of penetrating solid objects, making it possible for soldiers to avoid blunt force trauma but still receive an invisible brain injury.

On Friday, tens of thousands of Iraqis protested in the streets of Baghdad against the presence of some 5,000 foreign troops in the country.

The Iraqi parliament has urged all foreign troops - including those from the US - to leave.

Source: BBC
 
Kukiri huko kutokea Pentagon ambapo ndipo makao makuu ya majeshi ya Marekani kunamsuta wazi wazi Rais wa Marekani Donald Trump, aliyetangza mara tu baada ya shambulizi hilo kuwa "hakuna" majeruhi wa askari wa Kimarekani na mambo yote ni shwari.

Kituo cha habari maarufu duniani, BBC, kimetangaza hayo kwenye tovuti yake

Soma zaidi..,

All Is Well

In Turampet Voice

Ngoja MUUMBA Ajaalie WAYAHUDI Wamomba Na Kampala Waamke Uone Watakavyokutusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya brain concussion na PTSD yalikuwa yanachukuliwa kama masuala madogo ktk military medicine lakini katika wakati huu ni madhara makubwa na imekuwa vyema kukiri hivyo ili wanajeshi waweze kupata matibabu na ushauri-nasaha kukabiliana na hali halisi ambayo ktk sayansi ya matibabu ni suala zito na silo la kupuuzia.
 
Kukiri huko kutokea Pentagon ambapo ndipo makao makuu ya majeshi ya Marekani kunamsuta wazi wazi Rais wa Marekani Donald Trump, aliyetangza mara tu baada ya shambulizi hilo kuwa "hakuna" majeruhi wa askari wa Kimarekani na mambo yote ni shwari.

Kituo cha habari maarufu duniani, BBC, kimetangaza hayo kwenye tovuti yake

Soma zaidi..,

... halafu kwa makusudi mazima, tena ukiwa na akili zako timamu, tena bila kushawishiwa na mtu yeyote, tena ukiwa na nia ovu, umeacha maelezo ya msingi yafuatayo kwenye hiyo habari.

"... while another was sent to Kuwait and had returned to duty."

In short wamefanyiwa "vipimo" na mmoja tayari amerudi kwenye kituo chake cha kazi huko huko Iraq halafu majuha wanashangilia "ushindi" wa Iran. Kule Marekani ni utaratibu wa kawaida hata wanyama kufanyiwa routine checkup sembuse makamanda wanaoipigania nchi overseas!
 
Acha uzushi, hiyo link nimeweka ya nini? Kama si kuifata na ukajisomee mwenyewe habari kamili.

Kwani hao uliosema wamepelekwa Kuwait, walipelekwa kufanya utalii au walienda kutibiwa baada ya kujeruhiwa kwenye hilo shambulizi?

Kumbuka, huwa sikisii.
 
Kama wanajeshi 50 wa Marekani wamejeruhiwa wewe itakusaidia nini sasa. Kwa akili yako hivi Iran anaweza kumvimbishia Marekani mbona uchumi wake umedorara
Kukiri huko kutokea Pentagon ambapo ndipo makao makuu ya majeshi ya Marekani kunamsuta wazi wazi Rais wa Marekani Donald Trump, aliyetangza mara tu baada ya shambulizi hilo kuwa "hakuna" majeruhi wa askari wa Kimarekani na mambo yote ni shwari.

Kituo cha habari maarufu duniani, BBC, kimetangaza hayo kwenye tovuti yake.

Soma zaidi..,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanajeshi 50 wa Marekani wamejeruhiwa wewe itakusaidia nini sasa. Kwa akili yako hivi Iran anaweza kumvimbishia Marekani mbona uchumi wake umedorara

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo waulize moja ya mashirika makubwa ya habari duniani, BBC, walioitangaza habari hiyo.

Na wewe jiulize BBC kuandika habari hiyo wao imewasaidia nini?

Au hujaisoma post namba moja mpaka mwisho? Au imekuuma?
 
Kama wanajeshi 50 wa Marekani wamejeruhiwa wewe itakusaidia nini sasa. Kwa akili yako hivi Iran anaweza kumvimbishia Marekani mbona uchumi wake umedorara

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengne sijui mmepandikizwa ubongo Wa nguruwe hata sijui.
Yaani unaendekeza ubishi ili tu uonekane unabisha.. Nincompoop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... halafu kwa makusudi mazima, tena ukiwa na akili zako timamu, tena bila kushawishiwa na mtu yeyote, tena ukiwa na nia ovu, umeacha maelezo ya msingi yafuatayo kwenye hiyo habari.

"... while another was sent to Kuwait and had returned to duty."

In short wamefanyiwa "vipimo" na mmoja tayari amerudi kwenye kituo chake cha kazi huko huko Iraq halafu majuha wanashangilia "ushindi" wa Iran. Kule Marekani ni utaratibu wa kawaida hata wanyama kufanyiwa routine checkup sembuse makamanda wanaoipigania nchi overseas!
Kwa hiyo zile habari kuwa Intelijensia ya US iligundua Iran itashambulia zile Kambi hivyo ikahamisha Askari wote na vifaa mubimu tuendelee kuziamini au tuchukulie ulikuwa Utani wa Vita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom