Penny "mimi na diamond huwa tunamsikiliza young killer"...

Penny "mimi na diamond huwa tunamsikiliza young killer"...

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,092
Reaction score
34,903
Nani alijua kuwa miongoni mwa nyimbo anazopenda kusikiliza ‘The Bongo Flava Prince’ Diamond Platnumz ni za Young Killa?
young-killa-pic.jpg

Kwa mujibu wa mchumba wake Diamond, Penniel Mungilwa aka Vj Penny, wote kwa pamoja ni mashabiki wakubwa wa rapper huyo mwenye umri mdogo lakini aliyejaaliwa uwezo mkubwa wa kuandika mashairi ya hip hop.....

Penny ameimbia Bongo5 kuwa mara nyingi wamekuwa wakisikiliza single ya kwanza ya rapper huyo kutoka Mwanza, Dear Gambe.
ae580d60e65c11e2bf4822000a1ddbe2_7.jpg
Penny

Bongo5 ilitaka kufahamu reaction yake kuhusu wimbo mpya wa Young Killa, Mrs Superstar iliyoachiwa jana ambayo Penny ni miongoni mwa wasichana waliotajwa.
“Sasa vipi ningekuwa na Penny, hivi ntakuwa free au kama ningekuwa na Mwasiti wa THT, Ila Penny nahisi Diamond atanisumbua hata Mwasiti najua Pendo langu atalivua,” anarap Killa.
Kwa mujibu wa Penny, Young Killa ndiye msanii bora kabisa wa Hip Hop kutokea katika kipindi cha miaka michache iliyopita nchini Tanzania.


PENNY "MIMI NA DIAMOND HUWA TUNAMSIKILIZA YOUNG KILLER"... - GUMZO LA JIJI
 
dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...
Mumshauri akapige single moja na Jay Moe


Sio na Mpoki,maana uyu dogo uhandishi wake kama Mpoki...sijui mkufu ausimami ata ulishwe pweza,sasa sijui ndio vitu gani anaimbaga..
 
hahahaaa,eti mwanahiphop bora.Ndo watu kama hawa ambao walikuwa wanamsifia sana Stamina baada ya kutoa visingle viwili eti ndo mrithi wa Fid Q sahivi naona taratibu wanaanza kumkataa na vipunch vya vya 'kama',najua soon watamkataa na huyu dogo,aina yake ya uandishi haina tofaut sana na stamina,anavi punch vingine visivyo na mantiki
 
Mwambie pia awe anasikiliza nyimbo za Bonny Mwaitege

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom