Peniela (Story ya kijasusi)

Hii simulizi sitakuja kuisahau. Ilinifanya nisilale vizuri, iliathiri kabisa ufanisi wangu wa kazi. Pongezi kwako PATRICK CK kwa hii simulizi ya aina yake. Hii simulizi bora kabisa kati ya zote nilizowahi kuzisoma. Umetisha sana.
Mkuu pole sana! Bahati nzuri mimi hii niliikuta mwishoni, hivyo athali ya kusubiri ilikuwa ndogo!


Lakini kwenye Queen Monica ndo naona machungu ya kusubiri
 
Siku tano nimeisoma hii story kiikweli.....ni tamu mno ila mwisho mwandishi ameiharakisha mno ili kuimaliza.........
 
nenda play store then pakua aplication inaitwa UWARIDI humo utapata story kibaoo

214eb2838ce5801e452e006e302c5bba.jpg
 
82 Reactions
Reply
Back
Top Bottom