Peniela (Story ya kijasusi)

Day! Haya mambo ya kushinda Jukwaa la siasa kumbe huku majukwaa mengine kuna story tamu hivi zinaendeleaa tangu mwaka jana

Yaan kuna Peniela huku tena Vipepeo weusi!!

Ngoja nikomae kwanza na Peniela wakuu!
 
Hii simulizi sitakuja kuisahau. Ilinifanya nisilale vizuri, iliathiri kabisa ufanisi wangu wa kazi. Pongezi kwako PATRICK CK kwa hii simulizi ya aina yake. Hii simulizi bora kabisa kati ya zote nilizowahi kuzisoma. Umetisha sana.
 
Back
Top Bottom