Pengo ni mtu wa subira sana na hana kasi kama ya Kilaini. Mpaka kaamua kuongea hivyo kuna jambo....... Sasa Kwachokoza anawalazimisha wahusika wajibu mambo fulani.
Hii iisue kwa usaidizi wa Kilaini wakati ndio msaidizi wa Pengo wananchi tungejua ukweli zamani sana. Lakini kuna watawala hawakupenda kumwona Kilaini dar
Mkuu nimepitia sredi zako, naomba unisaidie kidogo. Je wewe huwezi kumpa benefit of doubt Pengo ukaamini kuwa yawezekana hiyo list ipo na yeye yumo? If you are critical thinker and devoid of any bias ofcourse!!
Siwengine ni Serikali ya CCM.....Inawezekana kweli anasingiziwa ili afunge domo asiwaseme mafisadi. lakini hao wanaomsingizia nia akina nani serikali au?
unachanganya mambo issue sio kanisa katoliki kujihusisha na mihadarati bali ni bwana pengo!nadhani hata yeye mwenyewe katika madai yake hajasema kanisa limewekwa kwenye hiyo orodha ya madawa ya kulevya,alichosema ni yeye ndio kawekwa kwenye orodha!kanisa katoliki limejengwa juu ya mwamba, haliwezi kutikiswa na milango ya kuzimu kama hii ninayoiona humu jf
kuna kitu tunatofautiana,mimi huwa napenda ku deal facts zaidi not he said she said stories,huwa haziishi!polisi wapo kama list ipo tutajua,na rais kama mwanasiasa anaweza kulitumia jukwaa lolote lile kufikisha ujumbe anaokusudia kwa hadhira mradi awe na uhakika atakachokisema kitafika mbali,bahati mbaya sana siku ile pale songea ilikua ni kwenye jukwaa la maaskofu!
Muongozo wa kanisa la katoliki ni tofauti na madhehebu mengine, ni vyema ukaliweka hilo maanani.unachanganya mamboo issue sio kanisa katoliki kujihusisha na mihadarati bali ni bwana pengo!nadhani hata yeye mwenyewe katika madai yake hajasema kanisa limewekwa kwenye hiyo orodha ya madawa ya kulevya,alichosema ni yeye ndio kawekwa kwenye orodha!
nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)
Hivi kuna post ambayo nimesema namjua Pengo? Mbona unataka kuniwekea maneno kinywani? Mbona imekuuma sana mimi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Walei? Kama hutaki basi lakini isitake kunisingizia mara nimehusisha gari na madawa ya kulevya mara namjua! Soma post kwa macho mawili usisome ukiwa na makengeza utashindwa kuelewa na kuanza kuwarikia watu bila sababu.Wewe hasa ndio unamjua Kardinali Pengo. Sio huyu kijamaa anayejiita mwenyekiti wa baraza la walei.
nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)
suala la biashara ya madawa ya kulevya au kulawiti watoto au kunajisi au jinai yoyote ila kamwe sio swala la kidini ni purely swala la kisheria, so Mwadhama Pengo ametajwa kuhusika na biashara hiyo haramu kwa mujibu wa sheria zetu, haitoshi tu kumtaja au kumtuhumu hapana, vyombo vinavohusika pamoja na waliomtaja wafanye uchunguzi wa kina wapate ushahidi wa kutosha then afikushwe mahakamani kujibu tuhuma hizo akishindwa ahukumiwe kwa mujibu wa sheria zilizopo, yeye kuwa kardinali hana kinga ya kutokufikishwa mahakamani na kamwe kanisa katoliki kalikuwahi kuhubiri watu watumie au waswambaze madawa ya kulevya wala maovu mengine yoyote. Kwa upande wa pili Mwadhama ni kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania ambayo ni dhamana kubwa sana, kuhusishwa na madawa ya kulevya sii tuhuma ndogo, anatakiwa adhibitishe beyond doubt kuwa hahusiki, lakini hiyo haitoshi waliomchafua anatakiwa awatafute kwa kushirikiana na vyombo vinavohusika wafikishwe mbele ya sheria ili kumsafisha lakini pia kulisafisha kanisa ambalo kwa karibuni limekuwa kwenye kashfa nyingi sana.Niliwahi kumsikia Rais akisema viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya, hivi rais huyu aliapa kulinda na kutetea katiba yetu?? kama ndio mbona haitetei kwa kushindwa kuwafikisha watuhumiwa wa madawa kwenye vyombo vya sheria maana anawajua??
Alioutoa rais pale songea haukuwa ujumbe wa kisiasa, ni security issue. Suala la madawa ya kulevya sio ishu ya kitoto ya kuwa addressed in such a pathetic way. Navyofahamu kwa mtu mwenye dhamira ya kutokomeza jambo, kufanya uchunguzi ni jambo la maana zaidi ya kubwabwaja hadharani. Wote tuna akili na tunajua nini serikali ilipaswa kufanya badala ya kusema hadharani.
Na ndio maana narudia mifano hii over and over again: Sakata La Mahita na CUF (majambia ya kugawa misikitini) na Lowassa vs Ufisadi. Hii ni michezo ya CCM na mafisadi. Na ndio maana kwao wanachekeana kama wanavyowachekea kina Jairo hata baada ya kugundulika kuwa kwenye 20,000 waliongeza 1 upande wa kushoto ili iwe 120,000.
Muongozo wa kanisa la katoliki ni tofauti na madhehebu mengine, ni vyema ukaliweka hilo maanani.
Kwa maana Pengo si just Pengo, kwao tuhuma hizo ni kama "tuhuma kwa kanisa"
sifahamu iliishaje bali ninachokumbuka mzee maengi alipendekeza watu wachuliwe hatua lakini ninachofahamu pia ni kwamba kamanda nzowa ndio mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa!kama unafahamu vinginevyo please tufahamishane kamanda!Ile ya mtoto wa mengi pale eapoti iliishaje mkuu. Just kuweka kumbukumbu vizuri. Tafadhali.
Intelligence ya nchi ingekuwa na watu kama wewe tungekuwa tumeishajiishia siku nyingi. Ukiwa muhariri wa magazeti ya udaku ndio unaweza kuita tetesi 'mafanikio'. Ishu kubwa namna hii haiitwi mafanikio unless umemkamata mtuhumiwa, ukamfikisha mahakamani na akapatikana na hatia na kuhukumiwa. La kama unazungumzia mafanikio ya kisiasa, sawa manake sina hakika kwa hilo. Ila usipende kukonkludi mambo kienyeji
Mkuu hilo la kusoma ni muhimu manake nashangaa hata mimi huyu Shizukan ananiwekea maneno kinywani? Nasema vingine yeye anakuja na.tafsiri yake nyingine sijui anazitoa wapi? Ameghadhibika ajabu anachanganya mambo sijui hasomi au anasoma kidogo tu na kufanya inference ambayo si ya kweli. Jamani tusome post kwa umakini na kujua mwenzio ameandika nini. Kama hujaelewa uliza akufafanulie siyo kutunga mambo yako na kusema kasema fulani.nadhani una tatizo la kusoma maandishi ya kiswahili pengine ni mzuri zaidi kwa kiarabu,bahati mbaya sijui kuandika kwa lugha hiyo,tafuta mtu akusomee nilichoandika..!kwanza ntawezaje kuita mafanikio ya polisi kwa taarifa ambayo hata polisi hawajaitoa bali karopoka mtu mmoja tena akiwa beach sio madhabuhuni na vijana????soma sawa sawa nilichoandika,nimegundua tatizo lingine kwenye huu mjadala wengi hamko huru kuchangia kwa jinsi mnavyoliona hili suala,bali wengi wenu mnajibanza kwenye mwamvuli wa dini zenu!mi sina dini hata moja hapo ndio mana niko huru kutumia akili yangu sio imani yangu katika hili!
Kama atakuwa amejihusisha, basi cycle hizo lazima zitahusisha pia watu ama shughuli za kanisa kama cover, hence really hard to avoid the church involvement, halafu kama unavojuwa hawa wanaripoti kwa Pope, na kama kuna uchunguzi, maybe tayari kanisa wanawakwao pia.kwa hiyo unataka kusema nini labda?kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kutokana na 'muongozo' wa kanisa hilo hawezi kujihusisha na uhalifu au pengo tu kwa jinsi unavyomjua hawezi kuhusika na uhalifu?