zinyalulu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 420
- 224
Salaam,
Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM
Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi
Na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA.
Nawasilisha