Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

Mwaka 2015 si vibaya Pengo akachukua maamuzi ya kugombea nafas ya kisiasa,it seems siasa anaziweza sana kuliko utumishi wa mungu,
Mtikila ameweza yeye atashindwaje?

Hiyo ndio hoja aliyoitoa Askf Pengo. Jifunze kusoma kwanza ndipo uchangie na sio kuongozwa na mlengo wa kidini au kisiasa.

BAK - Hapa chini nadhani Kadinali amechukia kwelikweli:-

He said the government seemed reluctant to act as if it did not exist.

Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Rev genekai

Who is Cardinal Pengo? In terms of Roman Catholic Church LEADERSHIP in Tanzania?

Last edited by a moderator:

Not only to be called regime; but rather 'asassin regime'

Mchungaji alijiteka mwenyewe na kuna uzi uliwekwa humu kashajirudisha uraiani.. teh

Mkuu alichozungumzia Pengo ni kweli na ni halisi isipokuwa ametoa mfano mmoja tu, mengi yameshatikea kabla na Polisi wameishia kuunda tume kama wanasiasa au kutoa porojo tu. Hiki kinachoitwa 'mob justice' leo hakikuanzia tu hewani, ni matokeo ya uhalifu wa Polisi kutofanya kazi yao kwa weledi.

Jana mzee mohamed said kwenye thread yake ya uchochezi alisema sheikh katumwa na waislamu kuyasema yale ayesemayo

Kindly quote which canon # in the CANON LAW

Hivi FBI wameishia wapi wajameni? kuna tetesi kuwa walikuta madawa ya kulevya wakaona ni bora wakimbie sijui ni kweli au la?

Rev genekai

Who is Cardinal Pengo? In terms of Roman Catholic Church LEADERSHIP in Tanzania?

Last edited by a moderator:
Ni kweli polisi wanafuga wahalifu mfano: SHEIKH ILUNGA mbona ni wazi kabisa dvd zake zipo lkn kwa kumuogopa na kumlea zaidi wanashindwa kuchukulia hatua.

POLISI TZ IMEOZAAAAAAA PENGO UPO RIGHT

Sito shangaa POLCCM kutomuhoji huyu MZEE kwani kwa vyovyote anajua mengi, Ilitakiwa saa hiziz wapo ofisini kwake hawape dondoo ya nini anachokijua.

Hivi FBI wameishia wapi wajameni? kuna tetesi kuwa walikuta madawa ya kulevya wakaona ni bora wakimbie sijui ni kweli au la?

Ndo unavyojidanganya.. nikukosa akili kufikiria upuuzi kama huu

Mkuu kwani lazima kuandika "Kithungu" hata kama hakipandi? Pia nini maana ya uwepo wa Jeshi la Polisi linaloendeshwa kwa kutumia kodi yangu na yako??? Hakika "Elimu ya Uraia" inahitajika sana kwa hiki kizazi cha "Mulugo & Co."!!!!

wahalifu nao siku hizi wamekuwa profesheno na si kila uhalifu ukifanyika apatikane mhusika,anaeza patikana au asipatikane au akapatikana baada ya miezi au hata miaka kadiri upelelezi utakavyoenda.
Nashauri pengo aache kupressure watu awaache wafanye kazi .

umeeleweka ila Pengo na wafuasi wake hawatakuelewa,maana yule ni Shekh na hao waliodhuliwa na kuuawa ni MAPADiRI

mnapenda kupotosha habari sana nyie watu. kwani aliyemuua huyo imam ni nani? kwa hiyo wakristo wauawe na hao mnaowaita wahuni, kisha wawaue na wenzao kubalance story halafu mnataka wakristo wapige kelele, mmewaona wakristo kuwa ni wehu eh? wakristo watasikitika kwa mauaji ya shehk au imam, baada ya kusikitika wafanyeje wakati wauaji ni wale wale wanaotaka kuwamaliza wakristo, halafu mnataka wakristo waone kuuawa kwa imam ni jambo jipya! acheni visa jamani, tafuteni amani zaidi kuliko ugomvi

Mkuu, nakubaliana nawe ki-aina. Lakini angekuwa kauawa mkeo/mmeo au mtoto wako ungekuwa na ujasiri wa kuongea kama ulivyoongea? Kwamba kwa sababu wahalifu nao ni professionals basi tusubiri hata miaka ipite kabla hawajakamatwa?

Walipouliwa wananchi wa kawaida Makanisa, Misikiti na Watu muhimu katika jamii hawakuona kama ni jambo la kukemea, imewasogelea.... nikakumbuka haya 'Firstthey came for the Jews, I did not speak out because I was not a Jew. They camefor the communist, I did not speak out because I was not a communist. They camefor the trade unionists, I did not speak out because I was not a tradeunionist, when they came for me, no one was left to speak out (Martin Niemoller1984-1984, cited in the Raia Mwema of July 4-10, 2012 no 246 pg 11, by JohnsonMbwambo)'

Na kauli yake ni kweli tupu tuna Serikali ya kisanii na kidhalimu ambayo utendaji wake ni SIFURI kwenye kila kitu na inahusika katika kuongezeka vitendo vya mauaji nchini hasa vya waandishi wa habari na wafuasi wa CHADEMA. Na katika tatizo la udini ambalo limezidi kuongezeka kwa kasi ya kutisha imeshindwa kufanya lolote lile kupambana na udini uliokithiri.

BAK - Hapa chini nadhani Kadinali amechukia kwelikweli:-

Polisi wameshindwa kazi, wana maslahi binafsi. Kauawa kamanda Liberatus Barlow wakawapata wauaji. Kauawa padre, wanatuchorea katuni na wanasema ati kukiona mtu anafanana na katuni hiyo tuwajulishe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…