Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,909
- 132,308
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.PascoAskofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp, Kardinali Pengo amesema amemsamehe Mchungaji Gwajima na wote walioguswa .ameyesema hayo wakati wa ibada ya leo Jumapili katika kanisa la St. Joseph amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya Mwadhama.My take:Niishauri serikali kuachana na Gwajima madam Mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi Wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msamahasource Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
Kasuka ni kasuku tu. Unasema uliyokariri. Ndio maana kukomesha rushwa, ufisadi na sembe ni kazi kubwa Tanzania. Haijalishi ni Kilaini au Gwajima, mtu lazima awe na uwezo wa kueleza kapata wapi pesa zake.
Kama hujui sheria hiyo ipo Tanzania na wamarekani wanashangaa kwa nini haitumiki. Mtu anajenga ghorofa from nowhere lazima aeleze mapato yake na kodi ipi kalipa serikalini. Tunahangaika kutafuta mafaili nani kaiba wakati matunda ya wizi au uuzaji wa sembe yapo dhahiri.
Kama amenunua Chopper kwa hela ya sadaka, athibitishe hilo kwa kuonyesha flow ya mapato yake. Kila week anapata kiasi gani na jinsi anavyo deposit bank.
Sheria tajwa inafumbiwa macho maana itawakumba wakubwa. Sasa wewe umekariri ya kukariri. Akija kiongozi akaitumia hiyo sheria wengi watakimbia nchi nakuhakikishia maana hawawezi kueleza mali wamepata wapi. Lakini kila mtu anajua ni ufisadi au sembe.
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
kanisa katoliki kama yalivyo makanisa mengine. linamiliki mali nyingi ikiwemo majengo. shule. hospitali . vyuo. ardhi. benki. vyote ni zao la sadaka. swala la mali zake haikua msingi wa yeye kuitwa kutoa maelezo. aliitwa kuzungumzia lugha chafu. kama kuna wasiwasi kuhusiana na mali zake then thats the differen case. inayotakiwa muda wake separately.
Ni shida nyie fanyieni research hayo makanisa maya Ya kibiashara Ya mambo Ya ajabu ajabu na Aibu tupu yanawakamua walalahoi wa chini Kabisa na wao wanaishia ukwasi wa kufa mtu .unajua watanzania wana matatizo mengi sana internally sasa hao wachungaji kwao ndiko wanapoona nafuu ya kutua matatizo yao nao wakiwaahidi kuwatatulia matatizo yao sugu bila mafanikio .watanzania wanaishia kupata faraja kwa Kuwa wanakutana na wenzao wenye shida zinazofananafanana ila hao maaskofu wa mitaani walishachizika ni Mara nyingi mpaka wana act kufufua watu .hayo nimeyashuhudia na ni balaa sasa mngekuwa mnawajua msingeshughulika nao make hazimoDhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
Ni aibu siasa kuingizwa makanisani.
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Uongo mwingine ni wa ajabu. Hata kwa umri wao tu hausimamii ukweli wa kauli yako kwamba kardinali Pengo anaweza kuwa amesoma darasa moja na Waziri Mkuu Pinda!Pengo na CCM ni ndugu moja alisoma darasa moja na mtoto wa mkulima.....so wanafiki utawajua tu kwa vile wanafanana
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
Akili ya Gwajima iko kwenye kutongozea tu wake za watu