Alafute Kesi Kwani yeye alienda Polisi ...hata HAJUI kinachoendelea Polisi na ameshasema kuwa mambo ya Serikali hayamuhusu ...yeye lake ni msamaha basi
Where Pengo mentioned in the canon law? Pengo is responsible in his premises which is Dar only and not out that. And furthermore he signed and he allowed the SMS to be dervered to his followers.Where is TEC mentioned in the canon law?
Kesi inamhusu yeye,hivyo anaouwezo wa kwenda kuifuta.Ni yeye aliyetukanwa.Pope Yohane Paul II alipigwa risasi lakini alipomsamehe mbaya wake alihakikisha na kesi yake inafutwa na mfungwa yule akawa huru.
Hii yawezekana hata Pengo akafanya.
Jamaa ana dharau sijapata kuona.
Mkuu unaweza amini kuwa eti hamjui jina askofu Gwajima mpaka amuite mtu furani!!??
Watu wenye dharau za hivi huwa ni ngumu sana kusamehe KIKWELIKWELI.
Jamaa ana dharau sijapata kuona.
Mkuu unaweza amini kuwa eti hamjui jina askofu Gwajima mpaka amuite mtu furani!!??
Watu wenye dharau za hivi huwa ni ngumu sana kusamehe KIKWELIKWELI.
"Natumia nafasi hii kueleza juu ya maneno ambayo yalitolewa na mchungaji fulani, sikumbuki anaitwa nani...":lol::lol:
Bora angeitwa mwanya,manake katafuta nafasi ya kujisafisha.Uaskofu haumtolei kuwa ye ni binadamu naamini kwa dharau ya kutokutaka kutaja jina Gwajima,bado anakinyongo.Dah
Pengo........
Bora angekaa tu kimya
Kama hayana uhusiano kwani wito wa mchungaji gwajima polisi ulikuwa wa nini? si walisema kwa kumtukana pengo sasa mtukanwa amesema amesamehe polisi watamuhoji wa tuhuma zip unless Kama wana kitu nyuma ya pazia
Kesi inamhusu yeye,hivyo anaouwezo wa kwenda kuifuta.Ni yeye aliyetukanwa.Pope Yohane Paul II alipigwa risasi lakini alipomsamehe mbaya wake alihakikisha na kesi yake inafutwa na mfungwa yule akawa huru.
Hii yawezekana hata Pengo akafanya.
huelewi hata ulichoandika.
Muda mwingine huwa nafikiri sana kuhusu hizi dini na viongozi wake mfano Pengo. Moja ya watu wanaoishi maisha ya raha mstarehe ni Maaskofu na mashekhe hasa wa ngazi za wilaya na mkoa. Hawa watu wako karibu na wanasiasa kuliko hata waumini wao. Ukiona muumini anaangukiwa mara kwa mara na hawa watu fahamu fika lazima muamala wake bank uko poa, nimefuatilia sana rasimu ya Warioba ilivyokuwa mwiba mkali kwa mafisadi,jinsi ilivyokuja kukataliwa na watawala,namna posho ilivyokuwa kubwa pamoja na kujiongezea siku na matusi ya kila aina kwa Warioba!! halafu huyu Pengo kanyamaza kimya hata hili la maaskofu na mkombozi bank.
Pengo na Sitta;
ishia zenu wazee
hamfai wazee
tumewachoka wazee
hamna jipya nyiee
mmetusaliti wazee
mlikula nini wazee
pampers nyie wazee
hatuwaheshimu tenaaaaa
mtuache wazeee