Rev kwani kuna kitu gani kibaya hapo
Kanda2 anajulikana kuna kitu hapo ameficha angalia alimobold! Mdini sana huyoooo mugope
Je kusema hivyo anatoa maana gani kwa dr.slaa ambaye ni padri kitaaluma aliyejiunga na siasa?......?
Je kusema hivyo anatoa maana gani kwa dr.slaa ambaye ni padri kitaaluma aliyejiunga na siasa?......?
Dr. Slaa alishatoka huko. Kwake ni sawa kujishughulisha na siasa. Kardinali alikuwa akionya wale wanaotoa bado huduma ya kipadre kwamba wasijihusishe na siasa kwani kwa kufanya hivyo wataweza kuwagawa waamini ambao ni wanachama wa vyama mbalimbali. Wao ni wachungaji wa wote kuegemea chama fulani kutaleta mgawanyiko Kanisani kwa misingi ya itikadi. Kumbe wao wanatakiwa kuwa neutral.Kwani Dr.Slaa bado anafanya kazi ya kiroho? Tofautisha baina ya kiongozi wa dini na kiongozi wa serikali hapo unadeal na vitu viwili tofauti.
Naileta hii unedited......
Pengo aonya uhusiano wa mapadri na wanasiasa
Imeandikwa na Martha Mtangoo, Dodoma; Tarehe: 22nd August 2010 @ 22:30 Imesomwa na watu: 16; Jumla ya maoni: 0
MAPADRI nchini wameaswa kutodanganywa na wanasiasa wenye lengo la kujipatia mali.
Mwito huo ulitolewa jana mjini Dodoma na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo wakati wa kilele cha maadhimisho ya kongamano la mwaka wa upadri.
Askofu Mkuu huyo alisema Tanzania ina vyama vingi vya siasa na kuwataka mapadri wasitumie vyama hivyo vya siasa katika kuwasaidia maskini kwani ni hatari, ila wahubiri habari njema za ukombozi wa Yesu kristo.
Alibainisha kuwa endapo padri yeyote hapa nchini atajiunga na wanasiasa atakuwa hana akili.
Alifafanua kuwa ni vyema mapadri wasidanganyike wala kurubuniwa na wanasiasa kama ilivyokuwa kwa mapadri wa nchini Rwanda ambao walisababisha maafa mwaka 1994 na hivyo kuishia gerezani.
Alisema baadhi ya mapadri hao wa Rwanda walikubali kuburuzwa na wanasiasa hao kwa ajili ya kutaka kujipatia mali na hivyo kusababisha maafa kutokana na ujinga wao.
Alifafanua kuwa ni dhahiri kuwa mapadri hao chimbuko lao halikuwa la upadri kutokana na wao kukubali kudanganywa na wanasiasa hao wapumbavu hali ambayo imesababisha mapadri wote kudharauliwa na kuonekana hawana maana kwa ajili ya vitendo vyao viovu.
Naomba kuwasilisha
Je kusema hivyo anatoa maana gani kwa dr.slaa ambaye ni padri kitaaluma aliyejiunga na siasa?......?
Mapadiri sasa wameshituka mtu wao hana nafasi ya kupewa Urais katika mazingira yeyote yale, hali hiyo imewafanya kujigeuza vinyoga na kurejesha majeshi na kufurahia uwepo wa JK kuendelea kuliongoza taifa ,matokeo ya hizi siku mbili zidi wabunge wa Chadema yamewafanya wabadili nyaraka zao kama wangendelea na hiyo miwaraka yao wangeumbuka vibaya sana baada ya Uchaguzi ,nafikiri na hiyo halaiki ya jana imezidi kuwakatisha tamaa .Yaliyotokea Ruwanda hayana tafauti na Uandikaji WARAKA.
:mad2:
Sicily
Haya Wagalatia munaanza tena yaani Muadhama anamaana ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe.........au kwa tafsiri yake ni kuwa DINI NA SIASA ISICHANGANYWE au nimemuelewa vibaya? kama ndiyo hivyo basi kwa namna moja nadhani yuko sawa lakini kwa Waislamu itakuwa kinyume kwani kutochanganya DINI na SIASA ni HARAMU! na ukiangalia historia Mashehe hawajawahi kushiriki au kupanga mauwaji ya kimbari huko Rwanda na sehemu zingine badala yake Misikiti ilikuwa ndio kimbilio la wahanga wa mauwaji ama ni Watusi au Wahutu wa siasa baridi!
Hivyo naam namuunga mkono na miguu yote muhashamu kwa kuwaonya Mapadre wasijiingize ktk siasa kwani huenda wakashindwa kujidhibiti na kuamua kuleta machafuko nchini na mungu aepushe mbali hayo yasijetokea kwani utakuwa msiba mkubwa! hivyo namshauri Padre Wilberd Slaa ajitoe kugombea urais kwani mtu hajiuzulu Upadre lakini Siasa anaweza kuwacha!
Mchungaji Bibi Rwakatare???????????????Dr. Slaa alishatoka huko. Kwake ni sawa kujishughulisha na siasa. Kardinali alikuwa akionya wale wanaotoa bado huduma ya kipadre kwamba wasijihusishe na siasa kwani kwa kufanya hivyo wataweza kuwagawa waamini ambao ni wanachama wa vyama mbalimbali. Wao ni wachungaji wa wote kuegemea chama fulani kutaleta mgawanyiko Kanisani kwa misingi ya itikadi. Kumbe wao wanatakiwa kuwa neutral.
Shoga wa kiume huyu ! Upadri si taaluma wewe boga!
Loh labda nitakuwa tango! Kwa sisi Waswahili anaekwenda darasani huambiwa anafuata elimu na kupata elimu ni kutaalamka, sasa iwapo Mapadre huenda kupata elimu ya upadri tafsiri hubadilika? Naam buyu unasemaje?