Pengine Mchambuzi wa Madamoto hana pa kula!!

Pengine Mchambuzi wa Madamoto hana pa kula!!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,134
Reaction score
138,204
Mchambuzi huyu wa Channel 10 kipindi cha Madamoto anajidharirisha sana.Katika hoja zake analazimisha kila jinsi kumtaja Lowasa mgombea wa UKAWA.Nashindwa kumuelewa.Ni ajabu kueleza mkwamo wa katiba ya wananchi ukimshutumu Lowasa peke yake bila kuilamu CCM.Ni ajabu kumtuhumu Lowasa kuhusu ufisadi bila kuituhumu CCM...Nimefikiria sana nimeanza kuhisi pengine mchambuni hana sehemu ya kula hivyo anasaka mlo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom