Pendekezo. . .

ni gharama in-terms of time unayo tumia kum-pm na kuulizia bei wakati ni kitu kinachotakiwa mwanzoni kabisa mwa biashara yeyote ile.
Na mimi naunga mkono hoja lakini nauliza hivi siku hizi ukim-PM mtu unachajiwa? Au mi nimemuelewa vibaya mleta uzi.
 
unauza bidhaa unataka upigiwe simu, kama tunauziana uchawi vile , weka bandiko la biashara kwa viwango bora , picha yake , bei yake na specifaction ili kupunguza maswali kwa wanunuzi
 
swadakta,kutokuweka bei kwangu mimi ni kutojiamini.na biashara haitakiwi hivyo.
 
Mods
Pendekezo langu mkiona thread haina details za muhimu hasa bei ya bidhaa inayouzwa ni kuifuta tu hiyo thread badala ya kujaza server kwa maswali ya bei,picha nk
Nadhani wakiona hizo post bubu hazitoki wataacha kutusumbua na PM zao watu wenyewe online wanaingia na kutoka
 

Na wewe unajaza seva kwa kupost mara mbili kitu kilekile, au hujastukia?


.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
Na wewe unajaza seva kwa kupost mara mbili kitu kilekile, au hujastukia?


.......................................
Historia haiishiwi wino.
hapo tunazungumzia contents za post. Makosa ya double post hasa kwa tunaotumia visimu vya mchi a hutokea mara nyingi kutoka a na network kuwa hafifu unaona post haijaenda una click tena baada ya muda kumbe command zimeenda.pia humu unaweza usione repetition yako kwani unakuwa umeshatoa mchango wako na kuingia topic nyingine.hata hivyo asante kushtuana
 


Umesomeka mkuu.

.......................................
Historia haiishiwi wino.
 

mambo ya sebule kama uwanja wa taifa!!!!!!sijui kwanini madalali hawabadili tabia kuendana na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…