M mkubege Member Joined Dec 9, 2016 Posts 14 Reaction score 10 Apr 17, 2017 #1 Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Apr 17, 2017 #2 mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Toa sababu ya pendekezo lako.
mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Toa sababu ya pendekezo lako.
Kikarara78 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 1,495 Reaction score 904 Apr 17, 2017 #3 mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Kwanini mpaka 2025 Boss mkubege? Kwanini isiwe Now kwenye Bunge ili la Bajeti? Au iwe 2020? Pili, jazia nyama Mada yako. Kwanini umempendekeza Mh. Majaliwa?
mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Kwanini mpaka 2025 Boss mkubege? Kwanini isiwe Now kwenye Bunge ili la Bajeti? Au iwe 2020? Pili, jazia nyama Mada yako. Kwanini umempendekeza Mh. Majaliwa?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,096 Reaction score 828,941 Apr 17, 2017 #4 mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Pendekezo
mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Pendekezo
B bullion JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 309 Reaction score 112 Apr 17, 2017 #5 mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Atakuwa mzee tayari 66
mkubege said: Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Click to expand... Atakuwa mzee tayari 66