Pendekezo

mkubege

Member
Dec 9, 2016
14
10
Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
 
Napendekeza 2025 waziri Mkuu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kwanini mpaka 2025 Boss mkubege? Kwanini isiwe Now kwenye Bunge ili la Bajeti? Au iwe 2020? Pili, jazia nyama Mada yako. Kwanini umempendekeza Mh. Majaliwa?
 
Back
Top Bottom