Nasikia wazungu mitumba yetu wameshaanza kuvaa mkuu.Miaka ijayo tutaachana na utegemezi wa misaada na tutakua watoaji zaidi kuliko wapokeaji hivyo ikifika wakati huo tutakuwa na waziri wa kusimamia misaada tunayowapa wahitaji.
Ata huko kwao ivyo ivyo hao watu ni junior ministers (manaibu) sio mawaziri wanaondesha wizara kamili.Nadhani kuna kitengo maalum cha "Aid management and external funding" ndani ya wizara ya fedha. Sidhani kama kuna haja ya kuwa na wizara kwaajili ya hili tu.
Umejuaje biashara za ndani "zinazidi kufa"?Kama biashara za ndani zinazidi kufa, hayo mapato yatatoka wapi tuweze kujiendesha bila misaada yao?
Ningetegemea kwanza muinue hali ya kipato ya mwananchi mmoja mmoja, pesa itakapokuwa nzuri kwenye mzunguko ndio uje na mpango kama huo, lakini kuja na mpango huo wakati huu bado tunaomba misaada ya kumalizia Nyerere Dam, na SGR, kwangu naona ni ndoto.
Hujaelewa mada.Kwa nchi yenye miaka zaidi ya nusu karne toka ipate Uhuru ni fedheha kuwa na wizara ya kushughulikia misaada tunayopokea.
Hatuwezi kuwa ombaomba milele hivyo hakuna ulazima kuanzisha wizara ambayo inakinzani na malengo yetu ya kujitegemea.
Tunawahubiria raia wetu kuhusu kujijengea uwezo wa kujitegemea kama taifa alafu tunaanzisha wizara ya kuratibu upokeaji wa misaada huko ni kuwachanganya wananchi na siasa za kihuni hizo.
Ndio tupate akili. Kweli wangesitisha misaadaTujiandae kufunga mkanda. Wazungu hawawezi kutoa hela zao halafu CCM inacheza na Haki za raia. Hii miaka mitano ya magufuli itakua migumu katika historia ya nchi hii tangu tupate uhuru.
Nayaona kwa macho yangu, leo nimeona hoteli ya Ngurdoto imekuwa hosteli!.Umejuaje biashara za ndani "zinazidi kufa"?
Hosteli siyo biashara?Nayaona kwa macho yangu, leo nimeona hoteli ya Ngurdoto imekuwa hosteli!.
Ubongo umehamia tumboni mkuu 😄Yaani pesa ya msaada utumie tena kununua GX za Ths 300,000,000 kuajiri watu na maptumizi mengine badala ya kwenda kushughulikia wananchi!!. Hao wezio ni watoa msaada si wapokeaji!. Hivi Mwanakijiji yule wa zamani aliibiwa jina au kachuja kimawazo!
Duh! yaani haukuwa msaada?Ule msada wa msumbiji tunaita kujishaua au kujitutumua
Yaani kutoka ile Ngurdoto ya wageni wanaoleta dola mpaka hao watoto mnaowagawia pesa za mikopo?Hosteli siyo biashara?
Yaani dola tu ndio unadhani mafanikio?Yaani kutoka ile Ngurdoto ya wageni wanaoleta dola mpaka hao watoto mnaowagawia pesa za mikopo?!
Ndio kujitegemea huko kwa akili zenu?
Kumbe madafu yanathamani zaidi ya dola siku hizi!Yaani dola tu ndio unadhani mafanikio?
Hiyo ni biashara kama nyingine.Nayaona kwa macho yangu, leo nimeona hoteli ya Ngurdoto imekuwa hosteli!.