Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Sisi tupo uchumi wa kati ,hatutaki misaada ya Mabebelu .Huko kutakuwa ni "kujichora" bora misaada iwe inakuja kimya kimya kama ambavyo watawala wanataka.
Wanabeza midaada halafu wanaomba na kuililia! Mpango aendelee tuu kuifatibu kimya kimya ili mkuu awe huru.
Ndio point yangu, tuondoe kabisa misaada ya moja kwa moja ya bajeti, misaada iwe sehemu ya mahusiano ya kibiashara, na uwekezaji katika rasilimali watu na uhamishaji wa ujuzi. Bajeti yetu ni lazima iwe inatokana na mapato ya ndani new asilimia 100 ndio kujitegemea huko.Mzee Mwanakijiji
Huu ni wakati wa kuchapa kazi tujenge nchi kwa pesa zetu za ndani.
Mabeberu hawatutakii mema. Mitano tena.
Sasa wakati umefika kufanya hili liwe kweli. Trade not Aid.Nyie mlisema ni matajiri na hamuhitaji misaada ya beberuz sasa imekuaje tena?
Kwa hiyo hili linaweza kubadilika simply kwa kulianzishia wizara yake?Sasa wakati umefika kufanya hili liwe kweli.... Trade not Aid....
Labda hujanielewa..kwani Sasa hivi hiyo hela haitumiki kununua hizo GXs?Yaani pesa ya msaada utumie tena kununua GX za Ths 300,000,000 kuajiri watu na maptumizi mengine badala ya kwenda kushughulikia wananchi!!. Hao wezio ni watoa msaada si wapokeaji!. Hivi Mwanakijiji yule wa zamani aliibiwa jina au kachuja kimawazo!
Miaka ijayo inatakiwa kuanza lini?Miaka ijayo tutaachana na ugetemezi wa misaada na tutakua watoaji zaidi kuliko wapokeaji hivyo ikifika wakati huo tutakuwa na waziri wa kusimamia misaada tunayowapa wahitaji.
Ni sekta muhimu ya uchumi.Kama sekta nyingine za uchumi zina Wizara zake na nyingine mchango wake ni mdogo kulinganisha na misaada ya kigeni. Kwanini basi tusiitendee haki sekta hii na kutambua umuhimu wake?Kwa hiyo hili linaweza kubadilika simply kwa kulianzishia wizara yake?
Hii ni dalili ya kukata tamaa, malafyale bulibuli?Hamna haja ya kuwa na wizara ya kusimamia misaaada. Mwacheni Chato boy awe anajichotea kadiri atakavyo na atumie atakavyo
Uwezo wetu wa kiuchumi utaamua hilo.Miaka ijayo inatakiwa kuanza lini?
Kwa nchi yenye miaka zaidi ya nusu karne toka ipate Uhuru ni fedheha kuwa na wizara ya kushughulikia misaada tunayopokea.Ni sekta muhimu ya uchumi.....Kama sekta nyingine za uchumi Zina wizara zake na nyingine mchango wake ni Mdogo kulinganisha na misaada ya kigeni..kwanini basi tusiitendee haki sekta hii na kutambua umuhimu wake?
Kama biashara za ndani zinazidi kufa, hayo mapato yatatoka wapi tuweze kujiendesha bila misaada yao?Ni sekta muhimu ya uchumi.....Kama sekta nyingine za uchumi Zina wizara zake na nyingine mchango wake ni Mdogo kulinganisha na misaada ya kigeni..kwanini basi tusiitendee haki sekta hii na kutambua umuhimu wake?