MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,549
- 24,159
Wee mama hiyo mimba uliyopewa na KUB mpaka utakapojifungua ipo kazi.Hili ni pendekezo tu.
Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.
Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.
KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama!
KUB ni cheo bwashee....... Acha kukariri!Wee mama hiyo mimba uliyopewa na KUB mpaka utakapojifungua ipo kazi.
Bwashee unaelewa maana ya economic profits?!
Soma sheria mpya za madini zilizopelekwa bungeni na serikali hii, utajua kuwa wewe ndio kilaza.Tuonyeshe mkataba ambao umewahi kuwekwa Gazetini ama kweli nchi hii vilaza wako eh Mungu w
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mikataba yote ya kibiashara ambayo USA inaingia inasainiwa na rais lakini lazima ipate idhini ya bunge ndipo inakua rasmi. Pia yote huchapishwa kwenye website ya serikali ili kila mwananchi asome na kuelewa nchi yake imeingia makubaliano ya aina gani, kwa mfano mkataba wa biashara kati ya US, Mexico na Canada (USMCA) huu apa kwenye link ya tovuti ya serikali ya marekaniUliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
Prof Kabudi atamuelewesha KUB then Mbowe ataitisha mkutano pale Mlimani City ili kuwapeni semina elekezi.Sielewi mzee Mgaya labda Kabudi anieleweshe.
Mikataba yote ya kibiashara ambayo USA inaingia inasainiwa na rais lakini lazima ipate idhini ya bunge ndipo inakua rasmi. Pia yote huchapishwa kwenye website ya serikali ili kila mwananchi asome na kuelewa nchi yake imeingia makubaliano ya aina gani, kwa mfano mkataba wa biashara kati ya US, Mexico na Canada (USMCA) huu apa kwenye link ya tovuti ya serikali ya marekani
Agreement between the United States of America, the United Mexican States, and Canada 7/1/20 Text
Table of Contents A. United States-Mexico-Canada Agreement Text – Chapters USMCA Protocol 0. Preamble 1. Initial Provisions and General Definitionsustr.gov
Swali lingine??
Labda!Aisee nadhani huwa anapewa mwaliko labda huwa anabanwa na Majukumu......!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Kabudi atamuelewesha KUB then Mbowe ataitisha mkutano pale Mlimani City ili kuwapeni semina elekezi.
Kuna fursa nyingi za kiuchumi tutakazonufaika nazo kama taifa pale Twiga!
Huwa wanaalikwa, husuda na roho mbaya zao ndio zinawafanya wasiende.
Dogo unafurahisha sana. Ebu nitumie mkataba wa Chadema wa kununua magari yale Double Cabin ya M4C chapchap nami nione kilicchomo!Unawaalika watu kwenye igizo la kusaini, lakini hawawezi kujua kilicho ndani vya mkataba si wendawazimu huo ni nini?
T
Dogo unafurahisha sana. Ebu nitumie mkataba wa Chadema wa kununua magari yale Double Cabin ya M4C chapchap nami nione kilicchomo!
Basi wewe ni mpumbavu! Unajengea hoja vitu usivyojua wala kuamini. Unadai serikali haioneshi mikataba hadharani wakati huna ushahidi wowote wa kuona mkataba wowote! Nilifikiri ungeniambia sio Chadema tu, hata Serikali ya Kenya mikataba yote ipo mtandaoni kaisome. Matokeo yake unaleta blah blah tu! Pumbavu!Mimi sio kiongozi wala mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupwa wa cdm, hivyo sina access yoyote na nyaraka za cdm. Hata hivyo sijawahi kuwaona hao cdm wakiitisha mubashara utiaji saini wa mikataba ya manunuzi ya hayo magari, na isitoshe hapa tunahoji mikataba ya raslimali za nchi, na sio mikataba ya vyama vya siasa. Huenda umekata pumzi ndio maana unahamasisha mada ukitarajia kutoboa kwenye hiki kitanzi.
Basi wewe ni mpumbavu! Unajengea hoja vitu usivyojua wala kuamini. Unadai serikali haioneshi mikataba hadharani wakati huna ushahidi wowote wa kuona mkataba wowote! Nilifikiri ungeniambia sio Chadema tu, hata Serikali ya Kenya mikataba yote ipo mtandaoni kaisome. Matokeo yake unaleta blah blah tu! Pumbavu!
Basi wewe ni mpumbavu! Unajengea hoja vitu usivyojua wala kuamini. Unadai serikali haioneshi mikataba hadharani wakati huna ushahidi wowote wa kuona mkataba wowote! Nilifikiri ungeniambia sio Chadema tu, hata Serikali ya Kenya mikataba yote ipo mtandaoni kaisome. Matokeo yake unaleta blah blah tu! Pumbavu!
Link gani sasa!!Hasira ikiisha uweke Link.