babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
pamoja sana mkuu,,,na natumai litawafikia hili.Naunga mkono hoja
mkuu nahisi garden iliyopo makongo pale ipo chini ya jwtz,maana mara nyingi huwa nawakuta pale mpaka MPs wanashughulika na garden.Jwtz au jkt
Ili tupate maendeleo haraka naona ni vema tukawatumia hawa wajeda . Hawanaga longolongo.Ni takribani miaka miwili sasa tangu barabara ya mwenge bagamoyo ikamilike.Kwa wale watumiaji wa njia hii watakuwa mashahidi kwa kipande cha garden kutoka makongo mpaka kituo cha magari cha super kilivo tengenezwa kwa ustadi.
Kazi hiyo yote imefanywa chini ya usimamizi wa jeshi la wananchi wa Tanzania,na binafsi imenivutia nakunisukuma kuangalia garden nyingine ndani ya jiji la Dar es salaam zinafananaje..hakika sijaona garden iliyohudumiwa na kuvuta kama iliyopo katika kipande cha barabara tokea makongo hadi super.
Kuna haja halmashauri ya jiji akaangalia jinsi ya kuingia mkataba na baadhi ya vikosi kwa ajili ya kupendezesha mji huu kupitia bustani.
Ni hayo tu nilionayo kwa sasa,na nikipata mda nitaleta baadhi ya picha za eneo hilo la barabara kati ya Makongo na Super.
Nawasilisha.
mkuu hizi zilizopo katikati ya mji zinatia kinyaa,kuna moja naona imeanza tengenezwa barabara ya sam nujoma,,wameanza vizuri sana.Exactly...bustani nzuri sana ile.Kikubwa ni kuwa wanajeshi wanajituma na wanaijali bustani yao.Asikudanganye mtu bustani ni matunzo.Nyingine ni ile ya TCRA nayo imetunzwa vizuri.
kabisa mkuu,,hawa wajamaa kama ni moja moja haiwezi kuwa mbiliIli tupate maendeleo haraka naona ni vema tukawatumia hawa wajeda . Hawanaga longolongo.
sawa mkuu,ndo uwezo wa kufikiri ulipoishia ,kama ulikuwa hujui jeshi lina miradi mingi,,mfano dodoma kuna kikosi cha ihumwa wana vitalu vya mito na wanafanya biashara ya kuuza miti....Kwa hiuo umeona Jeshi ndio la kutunza Bustani? Kama umeshiba sana nenda Kanye ulale.
Yaani kweli JWTZ wakabidhiwe bustani? Watakuwa wanalipwa au inakuwaje? Ina maana hawana kazi za kuwatosha au? Kama wanatunza za kwao si ni kwa sababu ni maeneo yao? Unatafuta kichapo bila shaka.Ni takribani miaka miwili sasa tangu barabara ya mwenge bagamoyo ikamilike.Kwa wale watumiaji wa njia hii watakuwa mashahidi kwa kipande cha garden kutoka makongo mpaka kituo cha magari cha super kilivo tengenezwa kwa ustadi.
Kazi hiyo yote imefanywa chini ya usimamizi wa jeshi la wananchi wa Tanzania,na binafsi imenivutia nakunisukuma kuangalia garden nyingine ndani ya jiji la Dar es salaam zinafananaje..hakika sijaona garden iliyohudumiwa na kuvuta kama iliyopo katika kipande cha barabara tokea makongo hadi super.
Kuna haja halmashauri ya jiji akaangalia jinsi ya kuingia mkataba na baadhi ya vikosi kwa ajili ya kupendezesha mji huu kupitia bustani.
Ni hayo tu nilionayo kwa sasa,na nikipata mda nitaleta baadhi ya picha za eneo hilo la barabara kati ya Makongo na Super.
Nawasilisha.
kwani kampuni zinazotunza bustani zinalipwa ama zinafanya kazi bure???Yaani kweli JWTZ wakabidhiwe bustani? Watakuwa wanalipwa au inakuwaje? Ina maana hawana kazi za kuwatosha au? Kama wanatunza za kwao si ni kwa sababu ni maeneo yao? Unatafuta kichapo bila shaka.
Sizungumzii kampuni nazingumzia jeshi ambalo ni taasisi ya serikali.kwani kampuni zinazotunza bustani zinalipwa ama zinafanya kazi bure???
ukipata jibu hapo manna yake katika miradi ya jeshi huu pia unaeza ukawa ni moja wapo ya mradi....
kwani tegeta ni phase ngapi mkuu??Ile Bustani kwa kweli ni nzuri sana,ila nasikitika kuwatangazia kuwa mradi wa BRT utaibomolea mbali.
Nadhani ni phase III au IV.kwani tegeta ni phase ngapi mkuu??