Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

Nyakageni na WanaJF,

Asante....

1: Uchaguzi ndani ya Chama bado na katiba ya chama ya mwaka 2006 ndiyo itakayotoa muongozo

2:Viongozi waliopo wanaendelea kufanya kazi na tunawasaidia katika ujenzi wa chama

3:Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu inahitaji uzoefu zaidi nje ya vigezo vya taaluma.Ni nafasi inayoshikiliwa na mtu ninayemheshimu kama kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na ibara inayosimamia uchaguzi wa Naibu Katibu Mkuu ndiyo inayosimamia uchaguzi wa Katibu Mkuu baada ya Mapendekezo.

Ndani ya Chama wapo Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu.Hizi ni tunu ninazozienzi katika utendaji wangu ndani na nje ya taasisi za kisiasa.Uzoefu wao ni wa muhimu zaidi katika kipindi hiki chenye changamoto

4:Nimetoa mchango wangu katika harakati za chama kabla sijawa kiongozi na au mtendaji wa chama makao makuu,siku zote ninaweka mbele maslahi ya chama kwa kushirikiana na wanachama na viongozi bila kujali vyeo

5:Mleta mada Makauri Jr Asante kwa kuwa na imani nami na wote walioonyesha imani yao kwangu kwa sababu walizo nazo.Mmenitia nguvu zaidi,sitaisaliti imani yenu kwangu kwa kubweteka bali njia pekee ya kuienzi imani hii ni kuebdelea kukitumikia chama na taifa letu kwa bidii kupitia nafasi niliyonayo.Nimeipitia thread hii kwa kina usiku huu

Kuna walionishauri kama wanachama,watanzania wasiokua na vyama au wenye vyama lakini vyama kinzani,kuna walioshauri kama Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu (bila kujali umri).Mungu awabariki

Pia waliotoa mawazo hasi bila kujali itikadi zetu hata kama ni wa upande ule mwingine(CCM),nimewasikia na hii ndiyo demokrasia.Mmenisaidia kujijenga na kuinarisha ngozi yangu izidi kuwa ngumu

Wale waliotunga stori za uongo kwa nia ya kunichafua,wametekeleza wajibu wao waliotumwa/waliojituma.Sina tatizo kwani Ukiwa Mwanasiasa na ukasifiwa na watu hasa wapinzani wako kila siku basi ni bora uache siasa.Waliotunga stori za uongo na matusi,Hakika nao wameingia katika historia nyeusi katika kukuza demokrasia ya vyama vingi

Naomba niseme wazi,tunajiandaa na uchaguzi ndani ya chama.Muda ukifika kwa rehema zake Mwenyezi Mungu nitachukua hatua za kidemokrasia kwa nafasi ambayo nitaona ninaimudu kulingana na mahitaji ya muda na baada ya kutathmini mchango na matokeo ya mimi kuwa katika nafasi hiyo katika kukivusha chama katika kipindi hiki cha ukombozi wa pili endapo wanachama watanipa ridhaa kwa mujibu wa katiba ya chama chetu.

Nitatangaza nia yangu hadharani kama nilivyofanya tarehe 28/04/2011 nilipotangaza Rasmi mbele ya waandishi wa Habari pale Travertine Hotel nilipotangaza nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Vijana Taifa.Sina woga,napenda uwazi.

JF kama Mwalimu wangu,mlezi na rafiki katika safari yangu katika jangwa atakua wa kwanza kujua hatua nitakayopiga

Asanteni sana kwa kura ya imani (Hasi na Chanya),tuendelee kujenga chama chetu na tumuombe Mungu atutangulie mbele ya safari yetu.Jambo la Muhimu tuweke matumaini mbele juu ya mustakabali wa chama chetu kupitia mamlaka ya kikatiba,ili kiu na ndoto ya kuona Tanzania yenye Neema na ya kujivunia inafikiwa siku za usoni.Mbarikiwe!!!

Ben Saanane

Umeandika kwa ukomavu wa hali ya juu.Sina cha kuongeza wala kupunguza kwenye maandishi yako.

Mungu azidi kukutia nguvu.Nina hakika Dr Slaa na Mbowe wanaposoma maandishi kama haya wanafarijika sana na kuamini wana vijana hodari nyuma yao!

Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:

Shemeji umeivaa.Nilidhani ungenikejeli kwa kuwa ni mojawapo wa mwanaCCM niliekushauri.Nimegundua una uwezo mkubwa wa kujieleza na kuteka hisia.
Weledi uliouonyesha hapa ni wa kipekee.Sisi wote ni vijana hata kama tuko katika vyama tofauti tukosoane kwa hoja.Wewe na Mnyika ni miongoni mwa vijana mnaonivutia ingawa mna kale kaudhaifu ka kupenda sana sketi tofauti na haiba yenu ya upole.Tundu Lissu ni mfano bora kwenu.Hongera pia kwa maelezo yanayovutia
 
Last edited by a moderator:
Nyakageni na WanaJF,

Asante....

1: Uchaguzi ndani ya Chama bado na katiba ya chama ya mwaka 2006 ndiyo itakayotoa muongozo

2:Viongozi waliopo wanaendelea kufanya kazi na tunawasaidia katika ujenzi wa chama

3:Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu inahitaji uzoefu zaidi nje ya vigezo vya taaluma.Ni nafasi inayoshikiliwa na mtu ninayemheshimu kama kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na ibara inayosimamia uchaguzi wa Naibu Katibu Mkuu ndiyo inayosimamia uchaguzi wa Katibu Mkuu baada ya Mapendekezo.

Ndani ya Chama wapo Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu.Hizi ni tunu ninazozienzi katika utendaji wangu ndani na nje ya taasisi za kisiasa.Uzoefu wao ni wa muhimu zaidi katika kipindi hiki chenye changamoto

4:Nimetoa mchango wangu katika harakati za chama kabla sijawa kiongozi na au mtendaji wa chama makao makuu,siku zote ninaweka mbele maslahi ya chama kwa kushirikiana na wanachama na viongozi bila kujali vyeo

5:Mleta mada Makauri Jr Asante kwa kuwa na imani nami na wote walioonyesha imani yao kwangu kwa sababu walizo nazo.Mmenitia nguvu zaidi,sitaisaliti imani yenu kwangu kwa kubweteka bali njia pekee ya kuienzi imani hii ni kuebdelea kukitumikia chama na taifa letu kwa bidii kupitia nafasi niliyonayo.Nimeipitia thread hii kwa kina usiku huu

Kuna walionishauri kama wanachama,watanzania wasiokua na vyama au wenye vyama lakini vyama kinzani,kuna walioshauri kama Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu (bila kujali umri).Mungu awabariki

Pia waliotoa mawazo hasi bila kujali itikadi zetu hata kama ni wa upande ule mwingine(CCM),nimewasikia na hii ndiyo demokrasia.Mmenisaidia kujijenga na kuinarisha ngozi yangu izidi kuwa ngumu

Wale waliotunga stori za uongo kwa nia ya kunichafua,wametekeleza wajibu wao waliotumwa/waliojituma.Sina tatizo kwani Ukiwa Mwanasiasa na ukasifiwa na watu hasa wapinzani wako kila siku basi ni bora uache siasa.Waliotunga stori za uongo na matusi,Hakika nao wameingia katika historia nyeusi katika kukuza demokrasia ya vyama vingi

Naomba niseme wazi,tunajiandaa na uchaguzi ndani ya chama.Muda ukifika kwa rehema zake Mwenyezi Mungu nitachukua hatua za kidemokrasia kwa nafasi ambayo nitaona ninaimudu kulingana na mahitaji ya muda na baada ya kutathmini mchango na matokeo ya mimi kuwa katika nafasi hiyo katika kukivusha chama katika kipindi hiki cha ukombozi wa pili endapo wanachama watanipa ridhaa kwa mujibu wa katiba ya chama chetu.

Nitatangaza nia yangu hadharani kama nilivyofanya tarehe 28/04/2011 nilipotangaza Rasmi mbele ya waandishi wa Habari pale Travertine Hotel nilipotangaza nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Vijana Taifa.Sina woga,napenda uwazi.

JF kama Mwalimu wangu,mlezi na rafiki katika safari yangu katika jangwa atakua wa kwanza kujua hatua nitakayopiga

Asanteni sana kwa kura ya imani (Hasi na Chanya),tuendelee kujenga chama chetu na tumuombe Mungu atutangulie mbele ya safari yetu.Jambo la Muhimu tuweke matumaini mbele juu ya mustakabali wa chama chetu kupitia mamlaka ya kikatiba,ili kiu na ndoto ya kuona Tanzania yenye Neema na ya kujivunia inafikiwa siku za usoni.Mbarikiwe!!!

ubarikiwe kaka! Ukiweza kuvamia jukwaa tu baaaasi. Great work brother. Be blessed a million times.
 
Last edited by a moderator:
chama,

Naomba tuheshimiane sana sana.Aliyeianzisha hii thread simfahamu,MODS wanajua sina uhusiano na hii ID.Unachojaribu kufanya hapa ni kunipaka matope tu kwa sababu unazozijua wewe.Sijui unapata faida gani hapa.

Kamanda Ben Saanane kile kitendo cha Chama kukujadili ujue nakuheshimu sana pamoja na kuwa ni mtata hilo haliwezi kunifanya nikuvunjie heshima yako!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo uongozi wa cgadema unapendekezwa hapa? hawana utaratibu wao? hebu jitahidi kutumia japo 0.0005 ya akili yako kufikiri.:mad2:
 
Nyakageni na WanaJF,

Asante....

1: Uchaguzi ndani ya Chama bado na katiba ya chama ya mwaka 2006 ndiyo itakayotoa muongozo

2:Viongozi waliopo wanaendelea kufanya kazi na tunawasaidia katika ujenzi wa chama

3:Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu inahitaji uzoefu zaidi nje ya vigezo vya taaluma.Ni nafasi inayoshikiliwa na mtu ninayemheshimu kama kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na ibara inayosimamia uchaguzi wa Naibu Katibu Mkuu ndiyo inayosimamia uchaguzi wa Katibu Mkuu baada ya Mapendekezo.

Ndani ya Chama wapo Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu.Hizi ni tunu ninazozienzi katika utendaji wangu ndani na nje ya taasisi za kisiasa.Uzoefu wao ni wa muhimu zaidi katika kipindi hiki chenye changamoto

4:Nimetoa mchango wangu katika harakati za chama kabla sijawa kiongozi na au mtendaji wa chama makao makuu,siku zote ninaweka mbele maslahi ya chama kwa kushirikiana na wanachama na viongozi bila kujali vyeo

5:Mleta mada Makaura: Asante kwa kuwa na imani nami na wote walioonyesha imani yao kwangu kwa sababu walizo nazo.Mmenitia nguvu zaidi,sitaisaliti imani yenu kwangu kwa kubweteka bali njia pekee ya kuienzi imani hii ni kuebdelea kukitumikia chama na taifa letu kwa bidii kupitia nafasi niliyonayo.Nimeipitia thread hii kwa kina usiku huu

Kuna walionishauri kama wanachama,watanzania wasiokua na vyama au wenye vyama lakini vyama kinzani,kuna walioshauri kama Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu (bila kujali umri).Mungu awabariki

Pia waliotoa mawazo hasi bila kujali itikadi zetu hata kama ni wa upande ule mwingine(CCM),nimewasikia na hii ndiyo demokrasia.Mmenisaidia kujijenga na kuinarisha ngozi yangu izidi kuwa ngumu

Wale waliotunga stori za uongo kwa nia ya kunichafua,wametekeleza wajibu wao waliotumwa/waliojituma.Sina tatizo kwani Ukiwa Mwanasiasa na ukasifiwa na watu hasa wapinzani wako kila siku basi ni bora uache siasa.Waliotunga stori za uongo na matusi,Hakika nao wameingia katika historia nyeusi katika kukuza demokrasia ya vyama vingi

Naomba niseme wazi,tunajiandaa na uchaguzi ndani ya chama.Muda ukifika kwa rehema zake Mwenyezi Mungu nitachukua hatua za kidemokrasia kwa nafasi ambayo nitaona ninaimudu kulingana na mahitaji ya muda na baada ya kutathmini mchango na matokeo ya mimi kuwa katika nafasi hiyo katika kukivusha chama katika kipindi hiki cha ukombozi wa pili endapo wanachama watanipa ridhaa kwa mujibu wa katiba ya chama chetu.

Nitatangaza nia yangu hadharani kama nilivyofanya tarehe 28/04/2011 nilipotangaza Rasmi mbele ya waandishi wa Habari pale Travertine Hotel nilipotangaza nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Vijana Taifa.Sina woga,napenda uwazi.

JF kama Mwalimu wangu,mlezi na rafiki katika safari yangu katika jangwa atakua wa kwanza kujua hatua nitakayopiga

Asanteni sana kwa kura ya imani (Hasi na Chanya),tuendelee kujenga chama chetu na tumuombe Mungu atutangulie mbele ya safari yetu.Jambo la Muhimu tuweke matumaini mbele juu ya mustakabali wa chama chetu kupitia mamlaka ya kikatiba,ili kiu na ndoto ya kuona Tanzania yenye Neema na ya kujivunia inafikiwa siku za usoni.Mbarikiwe!!!
Hoja nzito ya aina hii ukimtwanga mtu kama Ndugai akiwa kitini ataita askari wote wa mji wa Dodoma waingie ndani ya Ukumbi wa Bunge. Inaweza kusimamisha taifa kwa muda.
 
Mtanke,

Duh!

Leo nimecheka sana hadi nimeshindwa kuandika
 
Hii ilipaswa kuwa post yako ya kwanza na ya mapema kabisa kwenye uzi huu, ingependeza sana. Ukombozi wa Tz ni jambo halisi, tusiache likapotea hata siku moja vichwani mwetu na ndani ya mienendo yetu.
Mungu wetu yu tayari kutushindia vitani. Anaita sasa!
 
CC: Paw, Buchanan, PainKiller, Fang, Moderator-For Updates

Mungu akupe Maisha marefu.Sina cha kuongeza kaka.
 
ubarikiwe kaka! Ukiweza kuvamia jukwaa tu baaaasi. Great work brother. Be blessed a million times.

Kumbe wewe ni mpambe wa Ben!
Teh teh teh!
Ni bora kuwa na mlevi kuliko kuwa na mbulula km mpambe! Lzm akukwaze!
 
Khaah kipi kibaya ndugu yangu?

Kibaya ni kuwa unapotafuta wapambe ktk kampeni zako basi lzm uangalie busara za hao wapambe, manake ukijichukulia mbulula yyt mtaani anaweza kukukwaza!
Sasa huyu Nyakageni mawazo mgando ndio asili yake!

Nguvu zake za hoja ni km mtoto wa darasa la pili!

Elimu ya kata! Hata hicho kiswahili kinampa tabu saana.

Sasa huyo Ben Saanane atakuwa salama kweli?
 
Last edited by a moderator:
Nyakageni na WanaJF,

Asante....

1: Uchaguzi ndani ya Chama bado na katiba ya chama ya mwaka 2006 ndiyo itakayotoa muongozo

2:Viongozi waliopo wanaendelea kufanya kazi na tunawasaidia katika ujenzi wa chama

3:Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu inahitaji uzoefu zaidi nje ya vigezo vya taaluma.Ni nafasi inayoshikiliwa na mtu ninayemheshimu kama kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia na ibara inayosimamia uchaguzi wa Naibu Katibu Mkuu ndiyo inayosimamia uchaguzi wa Katibu Mkuu baada ya Mapendekezo.

Ndani ya Chama wapo Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu.Hizi ni tunu ninazozienzi katika utendaji wangu ndani na nje ya taasisi za kisiasa.Uzoefu wao ni wa muhimu zaidi katika kipindi hiki chenye changamoto

4:Nimetoa mchango wangu katika harakati za chama kabla sijawa kiongozi na au mtendaji wa chama makao makuu,siku zote ninaweka mbele maslahi ya chama kwa kushirikiana na wanachama na viongozi bila kujali vyeo

5:Mleta mada Makaura: Asante kwa kuwa na imani nami na wote walioonyesha imani yao kwangu kwa sababu walizo nazo.Mmenitia nguvu zaidi,sitaisaliti imani yenu kwangu kwa kubweteka bali njia pekee ya kuienzi imani hii ni kuebdelea kukitumikia chama na taifa letu kwa bidii kupitia nafasi niliyonayo.Nimeipitia thread hii kwa kina usiku huu

Kuna walionishauri kama wanachama,watanzania wasiokua na vyama au wenye vyama lakini vyama kinzani,kuna walioshauri kama Kaka na Dada zangu walionizidi umri na uzoefu (bila kujali umri).Mungu awabariki

Pia waliotoa mawazo hasi bila kujali itikadi zetu hata kama ni wa upande ule mwingine(CCM),nimewasikia na hii ndiyo demokrasia.Mmenisaidia kujijenga na kuinarisha ngozi yangu izidi kuwa ngumu

Wale waliotunga stori za uongo kwa nia ya kunichafua,wametekeleza wajibu wao waliotumwa/waliojituma.Sina tatizo kwani Ukiwa Mwanasiasa na ukasifiwa na watu hasa wapinzani wako kila siku basi ni bora uache siasa.Waliotunga stori za uongo na matusi,Hakika nao wameingia katika historia nyeusi katika kukuza demokrasia ya vyama vingi

Naomba niseme wazi,tunajiandaa na uchaguzi ndani ya chama.Muda ukifika kwa rehema zake Mwenyezi Mungu nitachukua hatua za kidemokrasia kwa nafasi ambayo nitaona ninaimudu kulingana na mahitaji ya muda na baada ya kutathmini mchango na matokeo ya mimi kuwa katika nafasi hiyo katika kukivusha chama katika kipindi hiki cha ukombozi wa pili endapo wanachama watanipa ridhaa kwa mujibu wa katiba ya chama chetu.

Nitatangaza nia yangu hadharani kama nilivyofanya tarehe 28/04/2011 nilipotangaza Rasmi mbele ya waandishi wa Habari pale Travertine Hotel nilipotangaza nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Vijana Taifa.Sina woga,napenda uwazi.

JF kama Mwalimu wangu,mlezi na rafiki katika safari yangu katika jangwa atakua wa kwanza kujua hatua nitakayopiga

Asanteni sana kwa kura ya imani (Hasi na Chanya),tuendelee kujenga chama chetu na tumuombe Mungu atutangulie mbele ya safari yetu.Jambo la Muhimu tuweke matumaini mbele juu ya mustakabali wa chama chetu kupitia mamlaka ya kikatiba,ili kiu na ndoto ya kuona Tanzania yenye Neema na ya kujivunia inafikiwa siku za usoni.Mbarikiwe!!!

CC: Paw, Buchanan, PainKiller, Fang, Moderator-For Updates
Ben Saanane huoni kama unajidharaulisha kuwa na watu wenye ufinyu wa fahamu kama huyu Nyakageni ?

Unatarajia kuwa mmoja wa kiongozi wa chama cha wananchi wenye heshima zao halafu ktk kambi yako unakusanya makapi km haya?

Hivi tuseme umekosa watu wa maana au kuna uhusiano wa kindugu au kikabila na huyu Nyakageni !?

Manake nyie watu mambo yenu ya ukabila hamuezi kuacha hata tuwafanye nini!

Nakwambia kabisa kama utaendelea kuwa na viruka njia namna hii! Lzm upige chini.

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Acha kuzuga sisi sio wajinga Ben tunajua unamahusiano ya karibu sana mwanzisha thread hii. Ulipanga kwa kupima upepo na kwa hawa waliochangia umejiona unapendwa sana ndugu yangu sasa jaribu kutia mguu utaona mbivu au mbichi.

Ben bado sana ndugu yangu yaani siasa ni zaidi ya JF humu.Hao wote waliokusifia hata mpiga kura mmoja hayupo kwa hiyo ni sawa na kusema napendwa na kitanda kumbe wapiga kura ni kunguni....
 
Ben Saanane huoni kama unajidharaulisha kuwa na watu wenye ufinyu wa fahamu kama huyu Nyakageni ?

Unatarajia kuwa mmoja wa kiongozi wa chama cha wananchi wenye heshima zao halafu ktk kambi yako unakusanya makapi km haya?

Hivi tuseme umekosa watu wa maana au kuna uhusiano wa kindugu au kikabila na huyu Nyakageni !?

Manake nyie watu mambo yenu ya ukabila hamuezi kuacha hata tuwafanye nini!

Nakwambia kabisa kama utaendelea kuwa na viruka njia namna hii! Lzm upige chini.

Cc Ritz
Teh teh teh! Haki ya Mungu kweli Chadema kuna magumashi wapiga debe wake ndiyo hawa kina kanyageni.

Ben Saanane, kama wapambe wako ndiyo hawa basi subiri kuzama kwenye shimo la choo.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh! Haki ya Mungu kweli Chadema kuna magumashi wapiga debe wake ndiyo hawa kina kanyageni.
Ben Saanane, kama wapambe wako ndiyo hawa basi subiri kuzama kwenye shimo la choo.

Mkuu ukiskia Muflis ndio huyu!

Manake bora ufilisike fedha!

Lkn ikifikia mpaka umefilisika wapambe ukaamua kupitia makapi kama huyo Nyakageni !

Basi we katafute kazi ya kupiga debe tu pale shule ya uhuru! Siasa huiwezi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom