Lakini mbona huwa magari mara nyingi hayaruhusiwi kutokana na foleni. Yanaruhusiwa kutokana na priority, sijui unanielewa. Mfano. Junction ya morrocco barabara ya tegeta posta inapewa priority na mda mwingi hata kama haina foleni kuliko ile ya morrocco kawe. Hata kama ya morrocco kawe ina foleni, huwa haipewi sana kipaumbele. Hii inathibitika kabisa sio kubahatisha. Thats why tunahitaji kuset mda sio kukadiria