Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Sagacity

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
252
Reaction score
150
Wafuatao natamani wawe katika timu ya kampeni UKAWA.

1.Tundu Lissu.

2.Godbless Lema.

3.Halima Mdee.

4.Esther Bulaya.

5.Joseph Haule.

6.Joseph Mbilinyi.

7.John Mnyika.

8.James Lembeli.

9.Alphonce Mawazo

10.Ismail Jussa.

11. Salum Mwalim

12.Benson Kigaila

13.David Silinde

14.Magdalena Sakaya

15.David Kafulila
 
kikao.jpg
 
Mtatamani saana,kama wana ubavu waambie na wao waweke hapa tuone
 
Wanajua kuiga watakuja na team yao pia... mnyika, lema, tundu, mwesiga, mbowe na mwalim wahamasishaji... aseee mwaka huu ukawa ni komedia
 
Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.
 
Hiki ni kikosi kazi....kikosi cha wanaume halisi sio akina Lucy...Nde
 
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.

Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.

Kumekucha tena makamanda.
 
Last edited by a moderator:
Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.
Kweli kabisa....lazma kieleweke mwaka huuu
 
Back
Top Bottom