Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.

Bila chochote au
 
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.

Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.

Kumekucha tena makamanda.

umeona kikosi kazi cha ccm 90% wanagombea ubunge?
 
Last edited by a moderator:
nashauri tundu lisu asiwemo awe ana ratibu maswala ya kisheria na ukiukwaji wa haki za binadamu pia tundu lisu anategemewa kugombea urais 2020 hivyo kitendo cha kumfanya awe kwenye team ya kampeni ni kumfanya achuje iwapo ukawa itanshindwa
 
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.

Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.

Kumekucha tena makamanda.

Unamzungumziaje Wasira jimboni kwake?
 
Last edited by a moderator:
Vipi mzee mwanakijiji vipi kina mzee Wasira mbona hujauliza swali hilo upande wa pili?Ushakuwa mccm wewe
Yan hawa jamaa wanawazaga kwa kutumia masaburi...akili yao inawaza UKAWA tu...hadi hawajui wanachouliza au kuandika!
Pole yao
 
Kampeni za majukwaani tuwaachie wanasiasa. Ila mpenda "MABADILIKO" kampeni inaanza saa 12 jioni hadi 12 asubuhi. Nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda hadi kieleweke mwaka huu. Elimisha zaidi ya wanachi zaidi ya ishirini (20) umuhimu wa kupiga kura na kuiondoa ccm madarakani.

I think this is the best strategy.
Kila mpiga kura wa Ukawa aende kituoni na wenzake 10.
Multiplier Effect.
 
Wafuatao natamani wawe katika timu ya kampeni UKAWA.

1.Tundu Lissu.

2.Godbless Lema.

3.Halima Mdee.

4.Esther Bulaya.

5.Joseph Haule.

6.Joseph Mbilinyi.

7.John Mnyika.

8.James Lembeli.

9.Alphonce Mawazo

10.Ismail Jussa.

11. Salum Mwalim

12.Benson Kigaila

13.David Silinde

14.Magdalena Sakaya

15.David Kafulila
Hawa wote wameambukizwa ufisadi na fisadi papa lowasa.
 
Back
Top Bottom