Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Wafuatao natamani wawe katika timu ya kampeni UKAWA.

1.Tundu Lissu.

2.Godbless Lema.

3.Halima Mdee.

4.Esther Bulaya.

5.Joseph Haule.

6.Joseph Mbilinyi.

7.John Mnyika.

8.James Lembeli.

9.Alphonce Mawazo

10.Ismail Jussa.

11. Salum Mwalim

12.Benson Kigaila

13.David Silinde

14.Magdalena Sakaya

15.David Kafulila

Maharagande Mbarala
Julius Mtatiro
Habib Mnyaa
 
Kamanda hawa uliowataja kwenye mijimbo yao ya uchaguzi kazi wanayo kujinadi, sasa unataka waende kumpigia kampeni Lowassa hauwatakii mema.

Mgombea ubunge mwenye uwezo wa kuacha jimbo lake na kwenda kumpigia kampeni mgombea mwingine ni Zitto tu.

Kumekucha tena makamanda.

kwa maharage ya kawaida usingekuwa na povu lote hili lazima hayo uliyokula yamechacha!
 
Last edited by a moderator:
Yule Lusinde apelekwe Arusha kumfanyia Magufuli kampeni baada ya hapo apelekwe Iringa Mbeya Mwanza na Zanzibar
 
Mbona Team Lowassa ilishakufa alipohamia Chadema?
Hujui kinachoendelea njiwa tulia mkuu!

Hakuna tena Team Lowassa ACHA kukurupuka.


bado ipo.... leo hii lowassa akihama anaondoka nao.... mfano wa kina laki si pesa ...
 
ningekuwa kamati kuu ya chama basi ningeshauri ukawa waweke timu za kampeni kikanda,na kila kanda wasipungue 5 mara kanda kumi utapata makamanda 50 ,pia wamalizie na timu ya kampeni taifa isipungue makamanda 10 akiwemo lema,lissu,jussa,salim mwalimu,mbowe,nk wengine wapige kazi kikanda
 
Wenje pia,jimboni kwake atakuja kusaini matokeo tu,hata S/M tulimruhusu akasaidie Musoma tukapiga mzigo fresh tu
 
Back
Top Bottom