Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Pendekezo: Timu ya Kampeni UKAWA iwe hivi

Wafuatao natamani wawe katika timu ya kampeni UKAWA.

1.Tundu Lissu.

2.Godbless Lema.

3.Halima Mdee.

4.Esther Bulaya.

5.Joseph Haule.

6.Joseph Mbilinyi.

7.John Mnyika.

8.James Lembeli.

9.Alphonce Mawazo

10.Ismail Jussa.

11. Salum Mwalim

12.Benson Kigaila

13.David Silinde

14.Magdalena Sakaya

15.David Kafulila

Waislamu wawili tu?
 
Licha ya kujiunga na cuf chadema bado haiwaamini waislam tu?sijaona jina la prof safari
 
lazima wawepo na walio toka vijijin, timu hata ikiwa na watu 40 sio mbaya,kama ni posho ipunguzwe
 
lema ni kiungo Muhimu hasa kwa kuwapa vijana ujasiri
 
Hii ndio tofauti kati CCM na CDM, CCM is a professional organisation and CDM is amateur. CCM wana mipango na mikakati ya ushindi, CDM wanatanga tanga Majukwaani. CCM ushindi wao ni bottom up CDM top down. To win CDM have change approach quickly kwenda mashinani sio kwenye town squire
 
Makosa ya Timu ya kampeni ya

Magamba unataka Ukawa wayarudie ???

Inatakiwa timu itakayoshuhhilika nja wapiga kura ;;!
Majukwaani tumeshamaliza !?!! Tena .ambao hawagombei
 
Back
Top Bottom