peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,827
- 21,436
Inawezekana kwa awamu hii. Prof mbarawa alikwenda zanzibar kugombea uraisKwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .
Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .
Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .
Naomba kuwasilisha .
akakosa akarudi bar akapewa uwaziri. Kuna watu wanajua kucheza na kete