Pendekezo: Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano atoke Zanzibar

lum

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
466
250
Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Mnatubeba ili tunywe maji ya mandimbwi kama nyinyi. Nyinyi WENYEWE mafukara MUMBEBE NANI? baada kushuhulika kujenga nchi yenu mumeingangania zenj tu. HAMJIELEWI MAZUZU NATION

FA994AF7-70CC-4891-827F-D8B0E160CD65.jpeg

hata jina la Taifa Lao hawalijui bora Samia awajengee Shule ili wajue haki zao za msingi. Miaka 60 bado wanasoma kwenye madarasa ya matope . What good zanzibar will get frm danganyika.
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,432
2,000
Acheni kujipa kujipa sifa za bure. Wanzanzibari wanataka kujitawala siyo kuwatawala nyie machogo. Mmejaa ubaguzi, ukabila, na udini. Nani anataka hayo maumivu ya kichwa na magonjwa ya presha za kuwatawala nyie?
Nendeni mkabanane huko visiwani Kwenu mnakaa huku Tanganyika na kujitanua hafu mnaanza kujifanya hamtutaki ebo tunawabeba sana nyie kuweni na shukrani
 
Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
25,378
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Hata mimi naona ni sawa. Wazanzibari ni viongozi wazuri? Au nasema uongo ndugu zangu?
 
mzeewaSHY

JF-Expert Member
Aug 31, 2021
1,226
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Uko sahihi !!
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
12,226
2,000
Na mukavunje majengo yenu ya Ofisi za TRA kule zanzibar, Ni nchi ya Zanzibar pekee duniani inalipa kodi kwa nchi 2, Wazanzibar wana ZRB kwa ajili ya maisha yao lakini kodi ya TRA zinakusanywa toka Zanzibar kwa maisha ya Watanganyika posho zao na mishahara pamoja na chakula ni kodi kutoka Zanzibar
Hivi kwa nini hamtaki kujitenga na hivyo visiwa vyenu ili muwe mnashinda kutwa mkiogelea? Kila siku mnadeka deka tu.

I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika siku moja. Ndani ya miaka mitano ya uongozi wangu, ningehakikisha naumaliza ukupe wenu wote. Na msingenisahau milele kwa hilo.
 
binbaraghash

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
4,526

Shenztyp wanzanzibari wanarasilimali za kutosha ndiomana lukuvi alisema mchana kweupe Zanzibar hatuwezi kuiacha sababu ndio hiyo mnapata kodi zao kwa kuendesha maisha yenu huko mkajenga hayo madaraja barabara na sgr, wanyamwezi wametapakaa zanzibar wamepewa mashamba wanalima viazi nk., hamuwez jaribu icho kitu
 
battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
2,155
2,000
Mimi Najua Watanganyika wanamengi vifuani mwao wameyaficha ,kila wakipata nafasi kama hii huanza kutapika nyongo.
Ki ukweli Hamutaki Mzanzibari ashike nafasi yoyote kwenye Serikali ya Muungano.
Sasa Huku mukidai kuwa Tumaeungana Nchi mbili ,maana yake nini?

Huku Zanzibar wamekuwa wawazi kuwa Hawautaki Muungano ng'o ,lakini wezetu nalo hilo mukachukia, sasa sijui munataka nini?
Mara wanywa urojo, Mara Midebwedo, Mara Hamuwezi kitu! Ha ha ha ha huu ujinga mpaka lini?

Kuna Shida gani Mzanzibari akiwa Spika wa Bunge La Muungano?

Na Mzanzibari kuwa Mkuu wa Majeshi na Pengine kuwa Waziri wa fedh?

Haw wakina Lukuvi kumbe wako wengi,
Sumu ya Roho Mbaya , Nyongo inawatoka sasa.
Ili Mama atawale vizuri ni lazima atengeneze safu yake vizuri, aingize Zanzibar Gangkama Yule Mwenke alivyoingiza Sukumang.
Mta zowez tuuu
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,481
2,000
Shenztyp wanzanzibari wanarasilimali za kutosha ndiomana lukuvi alisema mchana kweupe Zanzibar hatuwezi kuiacha sababu ndio hiyo mnapata kodi zao kwa kuendesha maisha yenu huko mkajenga hayo madaraja barabara na sgr, wanyamwezi wametapakaa zanzibar wamepewa mashamba wanalima viazi nk., hamuwez jaribu icho kitu
mada nzuri sana lakini mnaiharibu kwa makusudi
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
12,226
2,000
Mimi Najua Watanganyika wanamengi vifuani mwao wameyaficha ,kila wakipata nafasi kama hii huanza kutapika nyongo.
Ki ukweli Hamutaki Mzanzibari ashike nafasi yoyote kwenye Serikali ya Muungano.
Sasa Huku mukidai kuwa Tumaeungana Nchi mbili ,maana yake nini?

Huku Zanzibar wamekuwa wawazi kuwa Hawautaki Muungano ng'o ,lakini wezetu nalo hilo mukachukia, sasa sijui munataka nini?
Mara wanywa urojo, Mara Midebwedo, Mara Hamuwezi kitu! Ha ha ha ha huu ujinga mpaka lini?

Kuna Shida gani Mzanzibari akiwa Spika wa Bunge La Muungano?

Na Mzanzibari kuwa Mkuu wa Majeshi na Pengine kuwa Waziri wa fedh?

Haw wakina Lukuvi kumbe wako wengi,
Sumu ya Roho Mbaya , Nyongo inawatoka sasa.
Ili Mama atawale vizuri ni lazima atengeneze safu yake vizuri, aingize Zanzibar Gangkama Yule Mwenke alivyoingiza Sukumang.
Mta zowez tuuu
Ni huyo Lukuvi tu na ccm wenzake wachache ndiyo wanautaka huo Muungano! Tena ni kwa maslahi yao tu ya kisiasa. Ila ukweli ni kwamba, Watanganyuka tulio wengi tunatamani kuona uwepo wa Taifa moja tu!

Hii mambo ya Tanzania sijui na Zanzibar, inaongeza tu mianya ya ulaji kwa wanasiasa.
 
Bepari2020

JF-Expert Member
Nov 7, 2020
942
1,000

Hamuwezi kukaa taifa moja kwa sababu mmejaa ukabila, udini na ubaguzi. Hata Nyerere alisema aliutaka huo mnaouita muuungano ili machogo mpate mchawi wa kumlaumu kwa matatizo yenu ambaye sasa ni Zanzibar na msahau ukabila wenu. Mkiishi peke yenu bila ya Zanzibar za kutupia lawama zenu, mtaanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Bepari2020

JF-Expert Member
Nov 7, 2020
942
1,000
Nyinyi wanywa urojo mnaweza kuimba taarab tu. Zaidi ya hapo ni takataka tu. Na mwisho wenu ni 2025. Baada ya hapo muanze kujitegemea. Maana tumechoka kuwabeba.
Hakuna shida. Ondoeni majeshi yenu ya uvamizi acheni Zanzibar ijitawale. Tutaishi kama majirani tuu hakuna tatizo.
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,949
2,000
Duuu Tanganyika itakuwa inakaliwa na Zanzibar kimabavu.
Kumbe unaona,huo muungano toka kuanzishwa upo kimtego kimtego.

Na huyo muuasisi wa muungano Raisi Mwalimu Dr.Julius Kambarage Nyerere kila alipokuwa anakosolewa kuhusu aina ya muungano tulionao,mara zote alikalipia na kutoa majipu mepesi,na kuna wakati makamu wa kwanza wa serikali ya muungano na Raisi wa Zanzibar alifukuzwa kazi na kuwekwa under house arrest hadi mauti yalipomkuta kisa kutaka serikali tatu.

Tuseme muungano ni jinamizi,labda ingeundwa shiririkisho la Tanganyika na Zanzibar.
Zanzibar wanajua kuwa ni rahisi kwao kujijenga kiuchumi wakiwa taifa huru kuliko wakiwa ndani ya nchi kubwa.Japo watategemea Tanganyika kwa mambo mengi tu.

Na Tanganyika wanaona wananyonywa na kuwabeba Zenj.
Ndio pale wanataka serikali tatu,kati ya hizo ile ya muungano itakuwa serikali ndogo tu ikihusu yale mambo ya muungano.
 
Nsibwene

Member
Mar 2, 2017
81
125
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Sikubaliani spika atoke Zanzibar kwa bajeti inayoongelewa inatoka Tanganyika, hakuna pesa ya Zanzibar pale, sasa iweje spika atoke huko.
Ndiyo, hatà rais anapaswa awepo wa Tanganyika yeye rais aliyepo asimamie serikali ya muungano. Rais anayosimamia serikali ya Tanganyika kabisa.
Kwa kuwa katiba ya kutuongoza katika hili wanafanya wanalotaka. Kumchagua Waziri wa Miundo mbinu na ujenzi toka Zanzibar ni ukiukwaji wa katiba hata hii iliyopo imekiukwa.
 
Just Distinctions

JF-Expert Member
May 5, 2016
1,385
2,000
Hivi kwa nini hamtaki kujitenga na hivyo visiwa vyenu ili muwe mnashinda kutwa mkiogelea? Kila siku mnadeka deka tu.

I wish ningekuwa Rais wa Tanganyika siku moja. Ndani ya miaka mitano ya uongozi wangu, ningehakikisha naumaliza ukupe wenu wote. Na msingenisahau milele kwa hilo.
dawa yao ni nchi moja tu, ama kila mtu afe na chake. . . we huwezi kuponda bara wakati wamejazana kama siafu nenda pale bandarini uone wanavyokuja kwa maelfu, sema ndio hivyo wakiwa huku hujikuta wastarabu sana ngoja uwakute huko visiwani jamaa ni wabaguzi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom