Pendekezo: Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano atoke Zanzibar

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
6,440
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Inawezekana kwa awamu hii. Prof mbarawa alikwenda zanzibar kugombea urais

akakosa akarudi bar akapewa uwaziri. Kuna watu wanajua kucheza na kete
 
lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,389
2,000
Spika, Jaji mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aweza kutoka Bara au Visiwani.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,870
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
halafu rais wa Zanzibar aje atoke Tanganyika. hapo vipi?
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,955
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .

Sikumbuki kusikia mtu yeyote kutoka Zanzibar amegombea ubunge akashindwa uchaguzi. Inawezekana hawaombi.
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,227
2,000
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge hili wanatoka bara na visiwani , hii ndio maana neema ya Tozo inainufaisha pia Zanzibar .

Haiwezekani Maspika wote wa bunge hili kuanzia Adam Sapi , Pius Msekwa , Samuel Sitta , Anna Makinda na Job Ndugai watoke nchini Tanganyika Pekee , huku ni kupora haki ya Mshirika mmoja wa Muungano .

Napendekeza safari hii tupate Spika Kutoka Zanzibar , iwe Unguja au Pemba .

Naomba kuwasilisha .
Wakishindwa basi tena safari hii atoke vidiwani tena pemba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom