Kibaya zaidi ya huyu jamaa ni hiki anachofanya kulipa watu Kuna kumshambulia mitandaoni.Huyu jamaa nashangaa anapewa hipe Sana , Kwa kazi ipi aliyoifanya aisee , huyu hata mwaniri mstaaf wa Tabora hamzidi ....sioni uongozi wa huyo Mtaka Zaid ya maneno ya mtandaoni ......sioni chochote Kwa huyu Mtaka labda niorodheshewe mambo aliyoyafanya kuweza kufika rank anayopewa ...jamaa yupo overrated Sana
afa hata uongozi wa kijiji.Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa
Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma
Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara
Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana
Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Alikuwa mafichoni kusikokuwa na cameras ikambeba kuonekana mtulivu na mchapakazi, sasa vile yupo mjini, uhalisia wake utajulikana.Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.
Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
Hapana nadhani mama ana mawaziri wachapa kazi na ni mapema sana kuanza kujudge mawaziri wapya sababu miongozo ya kazi imebadilika kutoka kwenye serikali iliyopita na ya sasa hata culture ya uongozi imebadilika.Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa
Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma
Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara
Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana
Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Weka ushahidiNadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.
Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
Ngoja kwanza japo sikupingi , binafsi nilitaka awe makamu wa Rais, ila juzi wakati wanakabidhiana ofis niliona asili ya kujiamin zahidi, na Kama anapandisha mabega, so namkubali ili ngoja kwanza tumpime ,simuyu kafanya vizuri wacha tumuone makao makuu kwanza ila sifa za kiongozi bora anazo kirohoMoja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa
Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma
Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara
Elimu,miundombinu,afya,na halmashauri atavisimamia vizuri sana
Nafasi zile za Rais tunamuomba Mama Samia amteue awe mbunge kisha uwaziri
Simiyu gani aliyofanya vizuri? Tafuta watu waliopo huko wakuambie ukweli alivyokuwa analazimisha mambo yake ili apige pesaNgoja kwanza japo sikupingi , binafsi nilitaka awe makamu wa Rais, ila juzi wakati wanakabidhiana ofis niliona asili ya kujiamin zahidi, na Kama anapandisha mabega, so namkubali ili ngoja kwanza tumpime ,simuyu kafanya vizuri wacha tumuone makao makuu kwanza ila sifa za kiongozi bora anazo kiroho
Nadhani utakua hujui madudu yake, hivi unadhani kapelekwa Dodoma kiupendeleo au uchapakazi uliotukuka?, La hasha hiyo ni demotion ya akili sana na huyo Mtaka ni kuwa tu He was smart enough to potray himself kwa public in a positive way.
Muulize ile 1 billion aliyokwapua Simiyu vipi?, miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara kuwa chini ya kiwango vip?! Kule kwenye madini vipi mchezo aliokuwa ameseti?!.
Inshort Uwaziri hafai na labda atumie lile genge lake kujipenyeza na akiingia huko trust me ni game over na yeye anajua hilo.
Kwa nini unasema tafuta watu waliopo huko wakwambie ukweli ina maana wewe hujui unachokisema? kama unajua ukweli si usema hapa kwa nini uhangaishe watu humu kutafuta ukweli kwa watu wa simiyu. Hiyo ina maana unapiga bla bla tu hapa huna point.Simiyu gani aliyofanya vizuri? Tafuta watu waliopo huko wakuambie ukweli alivyokuwa analazimisha mambo yake ili apige pesa
Fact zipi, sipo kukuaminisha nipo kutoa kile nikionacho, whether you believe or not is none of my business.Ndgu acha majungu
Weka fact hapa.
Then........Weka ushahidi
Mtu akijua sana kuongea maneno matamu unaamini kuwa ni kiongozi mzuri? kwa hiyo Ummy kaharibu nini? Namuona Mtaka kuwa ni kiongozi sawa lakini ni mtu wa falsafa zaidi kuliko matendo ndo maana hata Simiyu mradi wa Barabara kutoka bariadi hadi maswa ni ubababishaji tu hakuna ukamirishaji.Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa