ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Wana michezo wenzangu salaam.
Ukilinganisha matatizo inayopitia timu ya Yanga na mafanikio inayoyapata, bila shaka yoyote ndipo utaamini nafasi ya kocha uwanjani.
Mimi siku zote naamini mpira ni wachezaji wazuri, kocha hana nafasi, lkn kwa performance ya Yanga, naona mchango mkubwa ni kocha wachezaji wanamalizia.
Hivi, ingekuwa vipi kama Yanga wasingekuwa na matatizo ya kifedha halafu kocha akawa Zahera? Naamini ingefanya kufuru zaidi.
Kwa performance ya Zahera, napendekeza Amunike ampishe nafasi haraka iwezekanavyo, huyu ndo kocha wa kutuvusha mbali
Ni hayo tu