DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 184
Narudia,Mkuu,
Pamoja na hayo mapungufu ya kucheleweshwa kwa fedha lakini tatizo ni MSD. Wafanyabiashara wengi hawalipwi kwa wakati lakini wameendelea ku-survive.
Kinachonishangaza ni kwamba leo hii utasikia MSD haina hela lakini leo hiihii utasikia mkurugenzi wa MSD kanda ya mashariki akabidhi kitita cha milioni kadhaa kuisaidia timu ya taifa ya wanawake. Are we serious?
Bado naendelea na ombi langu la kutaka MSD ipatiwe mshindani, ikiwa mi sehemu ya kuboresha huduma mahospitalini.
tell what you know about health supply chain and i will make you betterSerikali kuu ina tatizo katika kupeleka hela kwa wakati katika maeneo yote. Hata halmashauri hazipati ruzuku kwa wakati lakini kwa kutumia ubunifu zinaweza kutekeleza miradi mbalimbali. Sasa kwanini MSD ilalamikie jambo hilo kama ndio tatizo la wao kutoa huduma mbovu?
Kwa maoni yangu taasisi za serikali zinatakiwa kupewa msaada wa kuanzia na baada ya hapo lazima zibuni mikakati ya sustainability kitu ambacho MSD wanalegalega kwa kuwa hawana mshindani.
Mkuu,Narudia,
Kwa watoa huduma za afya tulio wengi kilio chetu ni kama chako mkuu. Kikubwa tukiamini MSD ni ya "wakubwa", ndo maana wana kiburi. Lakini kabla ya kuruhusu washindani serikali iandae mazingira mazuri. Huwezi kuendesha zahanati hata kwa 3m kwa robo mwaka achia mbali hiyo 1.2m ya Mbunge wangu Mponda na Dr Nkya. Tutaendelea kutukanwa na wananchi tunauza dawa zao hadi lini ?! Kumbe wakutukanwa ni Mponda, Mkullo na nani sijui. Zamani watu walikuwa wanapiga dili hizo, lakini siku hizi ukipokea mzigo wa miezi mi3 toka MSD unashika tama tu. Wiki 2 tu umeisha, unatamani ufunge kituo kwa aibu! Frustrations zinaanzia hapo.
....MSD kusaidia timu ni issue ndogo tu Mkuu. MSD haijafikia hata hatua za kushindwa kulipa mishahara wafanyakazi. MSD haishindwi kutoa 10m kusaidia timu lakini 200m ni upuuzi tu kuendesha shirika kama MSD.
Nimesoma post jamaa wanahitaji kulipwa 60 billions ili watafute uongo mwingine na sio huu wa madeni. Walipwe basi ili waje na single nyingine masikioni mwetu (kama).
tell what you know about health supply chain and i will make you better
Mkuu,mkuu umetumwa na wahindi nn?unakumbuka govt ilipoua TES matokeo yake kila shule ikawa na text books tofauti na nyingine
mkuu kwa nini wahindi wasinunue dawa msd where they are relatively cheap?MSD wanalipwa na govt,kama govt hailipi utapataje huduma?ww wajua hakuna mswahili anayesupply dawa ni wahindi tuu!
Mkuu kwa uzoefu wangu sijaona wabunge wakihusika kihivyo kwenye ununuzi wa dawa.Wahindi wamekua wakiwahonga wabunge ili waweze ku supply dawa hewa,fake ktk halmashauri zetu maana rushwa itaongea!
mkuu kwa nini wahindi wasinunue dawa msd where they are relatively cheap?
mkuu kama tatizo ni upatikanaji wa dawaduh.... hebu fanya simple research ujue MSD nao wanatoa wapi dawa na mfumo mzima wa usambazaji wa dawa, na vifaa tiba
Ipo siku WATAELEWA hata kama kwa sasa hawataki kuelewa!Mkuu,
Ni vizuri tukawasaidia mawazo hawa wanasiasa kwa sababu tukigoma kufanya kazi tunaambiwa hatuna wito. Wizi wa dawa upo hata kwenye zile hospitali binafsi lakini husikii zikiishiwa dawa au tunataka kusema hulka ya wizi ipo serikalini pekee.
Is meningitis congenital to you? Is it true That you don't know that MSD WAS ESTABLISHED BY THE ACT OF the PARLIEMENT? It is the members of our parliament who in case they also have "meningitis" will put your myopic advice into action. This is what the big players in PHARMACEUTICAL business know and there is where the big game is played.Mkuu kwa uzoefu wangu sijaona wabunge wakihusika kihivyo kwenye ununuzi wa dawa.
Sijui hii hongo inasaidiaje. Sehemu ambayo hongo inaweza kutokea ni pale MSD wanaposema 'out' hii hutoa fursa kwa watendaji kununua dawa kifisadi kwa wahindi.
Kwakua mshindani wa Muhimbili ni Agah khan? you have started to sound like an alien from Plutomkuu kama tatizo ni upatikanaji wa dawa
basi hapo ndipo tunapohitaji washindani wengi zaidi ili mmoja anapokosa mwungine awe nazo.
The issue is not about estblishment of MSD!!Is meningitis congenital to you? Is it true That you don't know that MSD WAS ESTABLISHED BY THE ACT OF the PARLIEMENT? It is the members of our parliament who in case they also have "meningitis" will put your myopic advice into action. This is what the big players in PHARMACEUTICAL business know and there is where the big game is played.
BONGOLALA has just put the "name of the game" for you go figure.....
mshindani wa muhimbili(MNH) ni MOI,bugando,kcmc,mbeyaKwakua mshindani wa Muhimbili ni Agah khan? you have started to sound like an alien from Pluto
mkuu kama tatizo ni upatikanaji wa dawa
basi hapo ndipo tunapohitaji washindani wengi zaidi ili mmoja anapokosa mwungine awe nazo.