Pendekezo: Mh Kigwangala apewe Wizara ya Viwanda na Biashara!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Kiukweli kasi aliyoingia nayo mh Kigwangala katika baraza la mawaziri imedhihirisha uthubutu alionao katika kupigania maendeleo ya taifa hili. Kwa kuwa kipaumbele kikuu cha serikali ya awamu ya 5 ni kuleta mageuzi ya viwanda binafsi namuona Hamis kama kiongozi anayeweza kutuvusha ktk harakati za mageuzi hayo.

Kuna viwanda vingi vilibinafsishwa lakini hadi leo havizalishi na waziri aliyepo ameshindwa kuvirejesha serikalini licha ya Rais Magufuli kumtaka atumie uwezo wake kama waziri kuvirejesha viwanda hivyo. Kwa namna Kigwangala alivyoshugulikia swala la vitalu na loliondo nina imani kwenye viwanda atafanya zaidi. Nawasilisha kwa maoni yako mdau!
 
Dr kigwagara bodo he is politically novice hayo anao yafanya nimihemuko tu hana mpango kazi wala dira bado sanaa time will tell they cant deliver significantly wanatafuta cheap popularity tu.
 
Kiukweli kasi aliyoingia nayo mh Kigwangala katika baraza la mawaziri imedhihirisha uthubutu alionao katika kupigania maendeleo ya taifa hili. Kwa kuwa kipaumbele kikuu cha serikali ya awamu ya 5 ni kuleta mageuzi ya viwanda binafsi namuona Hamis kama kiongozi anayeweza kutuvusha ktk harakati za mageuzi hayo. Kuna viwanda vingi vilibinafsishwa lakini hadi leo havizalishi na waziri aliyepo ameshindwa kuvirejesha serikalini licha ya Rais Magufuli kumtaka atumie uwezo wake kama waziri kuvirejesha viwanda hivyo. Kwa namna Kigwangala alivyoshugulikia swala la vitalu na loliondo nina imani kwenye viwanda atafanya zaidi. Nawasilisha kwa maoni yako mdau!
Mimi sijakuelewa viwanda mlivyouza ikifungwa unakuhusu nini? Na uliuza,mtu atanunua halafu afunge tu?marekani kuna mji unaitwa detroit ulikuwa mji waviwanda na haswa magari sasa hivi imegeuka ni mji wa magenge ya wahalifu,nikule mfano mdogo wewe na hao wehu wengine,kama una gari maraya mwisho umeona mtu akinunua tyre ya tube lini?ni technologia iliyopitwa na wakati,sasa hiyo general tyre iliyokuwa inatengeneza tyre za tube kwanini isifungwe?cha pili mashamba ya mpira yote iliyokuwa iki lisha imekufa,au unataka kuniambia kiwanda cha kiko ukipewa utafufua halafu uuze kiko leo,au kiwanda cha magunia ya katani,Tuache ushabiki usiokuwa na maana,nia siyo kufufua viwanda ni kupora mali ya watu na nikuanzia mashamba,mifugo n.k turudi ujamaa kikamilifu kwa sheria bado zina ruhusu.
 
Kiukweli kasi aliyoingia nayo mh Kigwangala katika baraza la mawaziri imedhihirisha uthubutu alionao katika kupigania maendeleo ya taifa hili. Kwa kuwa kipaumbele kikuu cha serikali ya awamu ya 5 ni kuleta mageuzi ya viwanda binafsi namuona Hamis kama kiongozi anayeweza kutuvusha ktk harakati za mageuzi hayo.

Kuna viwanda vingi vilibinafsishwa lakini hadi leo havizalishi na waziri aliyepo ameshindwa kuvirejesha serikalini licha ya Rais Magufuli kumtaka atumie uwezo wake kama waziri kuvirejesha viwanda hivyo. Kwa namna Kigwangala alivyoshugulikia swala la vitalu na loliondo nina imani kwenye viwanda atafanya zaidi. Nawasilisha kwa maoni yako mdau!
Nadbani waziri wa viwanda mihemko yake mwisho jukwaani akiingia ofisini anaangalia sheria na mikataba ndio maana havunji vunji kama mpemba avunjavyo nazi
 
Kiukweli kasi aliyoingia nayo mh Kigwangala katika baraza la mawaziri imedhihirisha uthubutu alionao katika kupigania maendeleo ya taifa hili. Kwa kuwa kipaumbele kikuu cha serikali ya awamu ya 5 ni kuleta mageuzi ya viwanda binafsi namuona Hamis kama kiongozi anayeweza kutuvusha ktk harakati za mageuzi hayo.

Kuna viwanda vingi vilibinafsishwa lakini hadi leo havizalishi na waziri aliyepo ameshindwa kuvirejesha serikalini licha ya Rais Magufuli kumtaka atumie uwezo wake kama waziri kuvirejesha viwanda hivyo. Kwa namna Kigwangala alivyoshugulikia swala la vitalu na loliondo nina imani kwenye viwanda atafanya zaidi. Nawasilisha kwa maoni yako mdau!
Kwani suala la vitalu vya loliondo unaposema limeshughulikiwa lini? Au umeshachotwa na siasa? Kama ni kweli kashghulikia, basi apewe hiyo wizara ya viwanda kama ni kweli ana bidii na siyo unafiki wa kutaka vyeo tu.
 
Hii nchi hivi sielewi kitu kimoja,unawezaje kumpa mtu waziri wa biashara na huku hajasomea wala kuifanya hata biashara ya kuuza pipi,angalia mfano marekani secretary of commerce ni mtu wa namna gani,hapa ningempa mtu mwenye uzoefu mfanya biashara.
 
Hile wizara inahitaji mpiga sound kama mwijage huyo ataharibu na matamko yake yasiyokuwa na kichwa wala miguu
 
Hii nchi hivi sielewi kitu kimoja,unawezaje kumpa mtu waziri wa biashara na huku hajasomea wala kuifanya hata biashara ya kuuza pipi,angalia mfano marekani secretary of commerce ni mtu wa namna gani,hapa ningempa mtu mwenye uzoefu mfanya biashara.
Nani amekuambia Kigwa hana biashara?!!
 
Back
Top Bottom