Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,193 10,919 Feb 14, 2018 #41 ndayilagije said: Lakini mkuu huoni kama itampa majaribu makubwa mwenyekiti,akipata mchepuko anakununua au kukufukuza tu ili ampe mwingine. Hii bora iratibiwe NEC kabisa,ujinga uishe.kabla hujajiuzuru ujijue tu kama umeua bendi. Click to expand... Mbunge aliyechaguliwa hafukuzwi kiholela na mwenyekiti. Hiyo ya kuchagua wajiwekee utaratibu ambapo mwenyekiti hatatumia madaraka vibaya.
ndayilagije said: Lakini mkuu huoni kama itampa majaribu makubwa mwenyekiti,akipata mchepuko anakununua au kukufukuza tu ili ampe mwingine. Hii bora iratibiwe NEC kabisa,ujinga uishe.kabla hujajiuzuru ujijue tu kama umeua bendi. Click to expand... Mbunge aliyechaguliwa hafukuzwi kiholela na mwenyekiti. Hiyo ya kuchagua wajiwekee utaratibu ambapo mwenyekiti hatatumia madaraka vibaya.
TUTUO JF-Expert Member Dec 3, 2013 3,253 2,023 Feb 14, 2018 #42 Benson Mramba said: No ahame na Cheo chake maana wananchi wamemchagua yeye sio Chama. Chama ni mdhamini tu! Click to expand... Nakukumbusha tu kuna wale jamaa wa ule mtaa tunauzianaga magari bila kulipa kodi huwa promo yao ni chagua chama
Benson Mramba said: No ahame na Cheo chake maana wananchi wamemchagua yeye sio Chama. Chama ni mdhamini tu! Click to expand... Nakukumbusha tu kuna wale jamaa wa ule mtaa tunauzianaga magari bila kulipa kodi huwa promo yao ni chagua chama