Pendekezo la kubadili mitaala tanzania

Hussein M Mavuche

New Member
Jun 6, 2012
1
0
Tanzania inabidi iangalie uwezekano wa kubadilisha mitaala ya elimu, kwa sasa masomo ni mengi,hili hufanya wanafunzi
kushindwa kuyabeba.
PENDEKEZO: Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi wasome yale masomo tu wanayoyamudu kama ilivyo kwenye kidato cha tano na sita, naamini mwanafunzi akifundindishwa kwa miaka minne eg PCB,PCM,EGM,HGK,HGL nk naamini baada ya hapo ameiva kwenda chuo kikuu au kwenda kwenye fani yoyote akiwa ameelewa.
Masomo mengine kwa intrest ya mtu anaweza kusoma baadae na akachukua degree kwa mfano mhandisi aliyesoma
PCM baadae anaweza kusoma Geograph kwa matakwa yake.
Tulione hili
 
pendekezo ni zuri na ni mtazamo poa...asee naskia drs la kwanza wana masomo kumi na moja??jee ni ya kwel na ningependa kupata list ya hayo masomo?na mtihani wa drs la nne umefutwa hapo vp pana ukwel?NI TAARIFA AMBAZO NIMEZIPATA HIVI PUNDE SO SINA UHAKIKA NAZO!NAOMBA MSAADA KWA HILI!
 
1.hisabati,2.kiswahili,3.jografia,4.uraia,5.fizikia,6.kemia,7.biolojia,8.historia,9.stati za kazi,10.tehama...,hilo somo la 11 kamuulize mbunge wa jimbo lako!
"THE_EMPEROR BABY"
 
Back
Top Bottom