johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,616
Hawa ndio watu wamegeuza JF kuonekana jukwaa la wapumbavu. Mkuu inauzi sana!
Hahahaaa...... Hahahaaa...... anakusalimu Ole sabaya!
Ndio hilo nasikia ukipita hapo chini usiku unapigwa roba?Ni pendekezo tu kwa ajili ya kumbukumbu ya Mbunge wa Kawe kwa miaka 10 mfululizo na ambaye wananchi wamemtaka sasa astaafu Mh. Halima Mdee.
Kivuko hiki kipo Bagamoyo Road eneo liitwalo karibu na Mbezi Beach maarufu kama Kwa Komba.
Maendeleo hayana vyama!
Dodoma, makao makuu ya serikali, kuna maeneo makubwa zaidi na kwa bei poa zaidi, kwahiyo punguza shaka!Hapo kwa Komba ama Tankibovu kama unaelekea Tegeta, upande wa kushoto kuna kiwanja kina ukubwa wa wastani ambacho hakijaendelezwa, na pia kina tangazo kuwa kinauzwa, Katibu Mkuu Mnyika pitia hapo muone kama mnaweza kukinunua na kuanza kujenga ofisi zenu, ili mpunguze masimango kutoka kwa mahasimu wenu wa kisiasa. Hadhi ya CDM na ofisi zenu za Ufipa kusema ukweli haziendani kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri!Hapo kwa Komba ama Tankibovu kama unaelekea Tegeta, upande wa kushoto kuna kiwanja kina ukubwa wa wastani ambacho hakijaendelezwa, na pia kina tangazo kuwa kinauzwa, Katibu Mkuu Mnyika pitia hapo muone kama mnaweza kukinunua na kuanza kujenga ofisi zenu, ili mpunguze masimango kutoka kwa mahasimu wenu wa kisiasa. Hadhi ya CDM na ofisi zenu za Ufipa kusema ukweli haziendani kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengeni ofisi ya chama muipe jina la Halima MdeeNi pendekezo tu kwa ajili ya kumbukumbu ya Mbunge wa Kawe kwa miaka 10 mfululizo na ambaye wananchi wamemtaka sasa astaafu Mh. Halima Mdee.
Kivuko hiki kipo Bagamoyo Road eneo liitwalo karibu na Mbezi Beach maarufu kama Kwa Komba.
Maendeleo hayana vyama!
cc: tpaulHawa ndio watu wamegeuza JF kuonekana jukwaa la wapumbavu. Mkuu inauzi sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofisi ipo inaitwa Chakaza building!
Hata ukikejeli, hao mnaosema hawana ofisi za kifahari ndio wanamlaza na viatu mkuu wenu kutokea hukohuko 'Chakaza Building'.Ofisi ipo inaitwa Chakaza building!