Pendekezo: Kiarabu iwe lugha rasmi mashuleni

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,820
Kutokana na kuenea kwa lugha ya kiarabu duniani kote kutokana na kukuwa kwa uchumi na vitega uchumi nje ya nchi za kiarabu imepelekea fursa za masomo, biashara (ikiwemo hijja) na uwekezaji na nchi za kiarabu (Saudi Arabia, Falme za Nchi za Kiarabu, Misri, Algeria, Morocco, Yemen, Qatar n.k) hivyo watu wengi kupata fursa za kibiashara huko UARABUNI. Ni ombi letu lugha ya kiarabu iwe rasmi mashuleni ili kuwezesha wanafunzi wetu kujiimarisha na lugha hii ya kimataifa.
cc. Wizara ya Elimu
 
Tutaanza kuowa BINAMU zetu sasa hivi. Mtoto wa Shangazi au Mjomba si damu yako kabisa?

Ila raha ni kuwa Watoto wa Kiarabu itakuwa rahisi kuwapata. Mashallah!!!!
 
Kutokana na kuenea kwa lugha ya kiarabu duniani kote kutokana na kukuwa kwa uchumi na vitega uchumi nje ya nchi za kiarabu imepelekea fursa za masomo, biashara (ikiwemo hijja) na uwekezaji na nchi za kiarabu (Saudi Arabia, Falme za Nchi za Kiarabu, Misri, Algeria, Morocco, Yemen, Qatar n.k) hivyo watu wengi kupata fursa za kibiashara huko UARABUNI. Ni ombi letu lugha ya kiarabu iwe rasmi mashuleni ili kuwezesha wanafunzi wetu kujiimarisha na lugha hii ya kimataifa.
cc. Wizara ya Elimu

Shindwa na ulegee kwa jina la Yesu! peleka huko vinasaba vyako vya ugaidi na jihadism
 
Kiarabu kina viashiria na vinasaba vya UGAIDI.
uarabu+ugaidi=USA
I.S.I.S- Israel secrete intelligence service!! baghad kiongozi wa magaidi duniani alitekwa ktk vita wakambana ikabidi aseme ukweli tu huyo Baghdad amekuwa trained USA then akaenda Israel for more training!! fatilieni mtapata ukweli
 
Kiarabu kinahusika na mapepo wabaya na majini, ndio chanzo cha UGAIDI duniani kote... Nilidhani ungeshauri kipotezwe kabisa ili kusaidia kumaliza watu wenye roho mbaya na chuki.
 
Kianze kufundishwa Ikulu maana kule ndipo wanafikia wageni wa kitaifa kutoka Uarabuni, kisha Wafundishwe wagogo maana ndio watakaokuwa wanapokea wageni kwa wingi kina Makonda wakiisha hamishia Ofisi zao za Dar Dodoma!
 
Vigezo vyako kama ni fursa za kiuchumi basis ungependekeza Kichina. Uchumi wake unaikimbiza Marekani na kama haitoshi Wachina wanatoa kazi nyingi ktk Secta ya ujenzi. Hao Waarabu wako Nazi yao in kumtumia Mtemvu awapelekee Dada zetu ili watumikishwe.
 
Kutokana na kuenea kwa lugha ya kiarabu duniani kote kutokana na kukuwa kwa uchumi na vitega uchumi nje ya nchi za kiarabu imepelekea fursa za masomo, biashara (ikiwemo hijja) na uwekezaji na nchi za kiarabu (Saudi Arabia, Falme za Nchi za Kiarabu, Misri, Algeria, Morocco, Yemen, Qatar n.k) hivyo watu wengi kupata fursa za kibiashara huko UARABUNI. Ni ombi letu lugha ya kiarabu iwe rasmi mashuleni ili kuwezesha wanafunzi wetu kujiimarisha na lugha hii ya kimataifa.
cc. Wizara ya Elimu
Yaani nianze kusoma kutokea kulia kwenda kushoto!!?
 
Kiarabu kinahusika na mapepo wabaya na majini, ndio chanzo cha UGAIDI duniani kote... Nilidhani ungeshauri kipotezwe kabisa ili kusaidia kumaliza watu wenye roho mbaya na chuki.
Kikipotea kiarabu na kiswahili kitasambaratika.
 
Unataka wanetu waanze kusema halua halua halua wanaposoma hadi wazazi tuanze kuogopa na kuhisi wamechanganyikiwa ee?
 
Back
Top Bottom