Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,706
Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Ndo hivo mnavyopanga Sept 1 wengine wakapigwe virungu huku nyie mnaangalia TV?The enemy is always confronted by courageous file and ranks solders and top Generals remain behind planning and managing confrontations!!!!!!! Many die in the process of winning the war. that is how it is in winning war battles.
No,For the sake of their childrenBut for the sake of your children
Vita ndivyo inavyopiganwa, hamna namna nyingine. Kuna war planners and combatants.Ndo hivo mnavyopanga Sept 1 wengine wakapigwe virungu huku nyie mnaangalia TV?
Ha ha ha ....combatants (wapigwa virungu) jiandaeni wakati war planners wanakula AC na kuwaangalia kwenye TV.Vita ndivyo inavyopiganwa, hamna namna nyingine. Kuna war planners and combatants.
Mkuu hivi wewe ukiwa ACT ni lazima mkeo na wanao nao wawe itikadi yako? Sii wanaweza kuwa TLP?Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Ha ha ha ....combatants (wapigwa virungu) jiandaeni wakati war planners wanakula AC na kuwaangalia kwenye TV.
Msiwe na wasi manake hawa war planners watatoa MATAMKO makali sana baada nyie kula virungu hadi maumivu yenu yote yayeyuke.
Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Hawa jamaa mafanikio yao na familia zao ni mpaka wewe ufe,upate kilema.
Ndo wanakaa meza kuu kufanya majadiliano.
Wewe huhusiki haikuhusuKuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Siwezi kuwa makufuliJifunze kuandika kiswahili
Uo ushaur wako siusuport kabisa. Kuna watu muhimu kama Tunduliso hwatakiwi kuwepo kabisa kwenye maandamano.Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........