Mkuu kuwa Gamba usiwe kipofu.Hoja hii inatoa ushauri kuboresha chama wala haimpigi vita Zitto.Zitto na Heche wote wana umuhimu ndani ya chama isipokuwa wabadilishiwe majukumu kwa afya ya chama.Hilo linakuuma nini?
Kwa hiyo Chadema amumtaki Zitto Kabwe, kama majukumu ya kibunge mbona Mbowe anayo amjamtafutia wa kumrithi.
Mkuu wewe usie gamba hautumii hata akili za ziada kuleta majungu yako dhidi ya Zitto hapa janvini? anyway ni rahisi maana utapata waungaji mkono ambo kwao wao Zitto ni adui
Zito ni Mbunge na katibu mkuu lakini umesahau kama Heche ni nani? au cheo cha heche hujui umuhimu wake ndani ya chama? au unadhani anavyofanya anafanya kwa kofia gani? na apewe cheo cha Zitto kwa misingi ipi ikiwa najukumu kubwa la kuongoza vijana
Au wewe huoni majukumu ya Said Arfu kama mbunge na makamu mwenyekiti, vipi kuhusu Mnyika unajua vyeo vyake......why Zitto
Gamba la Kobe at work! Unajua mambo ya CDM kuliko ya chama chako? Why?
Mkuu This Home of Greater Thinker, nakuja na vihoja vyako vya kitoto unabanwa unakimbilia gamba............nonsense
tetea hoja yako kwa hoja....................why Zitto na sio wabunge wengine?
Ukibaraka wako usikufanye uwe kipofu.Mimi nimeleta pendekezo ambalo tayari viongozi wa chama wamelipokea.Wewe kinakuuma nini? Kwenye hoja yangu nimesema wazi kwanini nimeleta hili Pendekezo.Usitake kila mtu kuwaza unavyotaka wewe.Chuki zako kwa CDM hazitazuia chama kujengwa na kushauriwa.
wewe ni kichwa cha wendawazimu,zitto apigwe chini kwa sababu ipi?
Upuuzi mwingine huu sasa heche ndo umfananishe na zitto au viroba vimeanza kupanda kichwani.
nakubaliana na mtoa hoja
Muacheni mpiganaji wetu ZITTO JEMBE una bishaaa
Ukibaraka wako usikufanye uwe kipofu.Mimi nimeleta pendekezo ambalo tayari viongozi wa chama wamelipokea.Wewe kinakuuma nini? Kwenye hoja yangu nimesema wazi kwanini nimeleta hili Pendekezo.Usitake kila mtu kuwaza unavyotaka wewe.Chuki zako kwa CDM hazitazuia chama kujengwa na kushauriwa.
Hivi wewe una akili timamu kweli unatoa pendekezo Heche amrithi Zitto, huyo Heche ndio amekutuma kuja JF kumtafutia nafasi.
Kwanini asipewe kamanda wa makanda,mkuu wa jeshi wa ardhini,mpigania haki,mpambanaji wa kweli,simba wa arusha, ex MP aka ex jambazi aka mzee wa bonet.
Wewe Gamba tulia unyolewe...! Wenye akili wameshachukua pendekezo langu.
mkuu yule demu alitoa tamko kumpinga Heche alikuwa ametumwa na wale wahanga wa BAVICHA ambao huwa wanashinda fcbk kupiga majungu na soga alafu eti nao ni makamanda, lakini bado haibadilishi uwezo wa Heche kuwa jamaa ni jembe na anakubalika sana na anafaa zaidi japokuwa baadhi ya vijana uchwara wa CDM hawapendi kusikia hilo but still Heche ni dhahabu ndani ya CDM na hata kama akigomeba urais wa dunia sisi vijana wenzake tutampa kula.
Big up John Heche