AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Alitoa tamko akilani kauli ya Shibuda kugombea urais, yule Mwanamke wa BAWACHA akapingana naye akamwambia Heche usipende kuropoka hovyo.
zitto unapigwa vita chadema kwa sababu ya dini yako,
Sasa naona ngongo imekukolea, mwombeMtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.
Juliana Shoza ni Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA aliyemtoa nishai Heche, kama utaki unaacha.
zitto unapigwa vita chadema kwa sababu ya dini yako,
zitto unapigwa vita chadema kwa sababu ya dini yako,
vijakazi vya mbowe hapa utavijua tu. aibu kwenu.
heche ana uwezo gani wa kumfananisha na zitto.
Linamfaa mzazi wako.
Zitto ana tabia ya dharau na majivuno. Kama vipi apigwe chini tu.
Hahaaaa...UENYEKETI!!!!!!hapana TOO much:wink:Kwa uwezo mkubwa ulioonyeshwa na Mpambanaji John Heche, mi binafsi naungana mkono kabisa na mtoa Hoja, lakini napendekeza CDM wafike mbali zaidi huyu jamaa ktk uchaguzi ujao ndani ya chama apewe nguvu zaidi kwa kuchaguliwa kuwa M/kiti wa Chama Taifa ili aweze kukijenga chama kuelekea 2015 na hatimaye apitishwe na chama kuwakilisha nafasi ya Urais kupitia CHADEMA kwani anakubalika na watu wa kada zote, hivyo Mbowe, Slaa na Zitto wamwachie huyu kijana mpambanaji.
why zito all the time? Cdm mtapotea kukalia kumjadili mtu, achana nae, ingieni mstuni mjipange kuongo nchi nxt season!.....
Zitto ana tabia ya dharau na majivuno. Kama vipi apigwe chini tu.