Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Kumbe mbowe mkwe wa mtei? Duh yaani baba mkwe alikuwa mwenyekiti akamuachi mkwe wake mbowe!!!? Nchi ya zaidi ya ya 40m population hakuonekana zaidi mkwewe tu? Mmmh maswali mengi kuliko majibu
Mkuu ulikuwa haulifahamu hilo,sasa wewe ulijua Mbowe kapata uenyekiti kwa kigezo gani? elimu,utashi wa siasa au kukubalika. Hana sifa hata moja kati ya hizo zilizomfanya kuwa kiongozi.Usistaajabu Heche akapewa nafasi ya Zitto kwa kuwa amekubali kulamba miguu ya Mbowe.
 
Nadhani sasa umekubaliana na hoja yangu kwamba heche ni msukule wa slaa!heche ni kichaa kama vichaa wengine,hana sera kazi yake ni kufokafoka na ndio maana tarime hawamtaki,

Anaishi mjini sababu ya chama na ndio maana hana maamuzi binafsi(msukule)
Hakuna mtu ataeshangaa pindi akapewa ukurugenzi pale makao makuu maana anamaliza mda wake mwakani.
Mleta mada anajaribu kupima kina cha bahari kwakutumia kijiti!
Hivi hamna raha mkiandika pumba zenu bila kumtaja rais ajae zitto kabwe?
Mnaonyesha jinsi gani anawanyima usingizi.
When you talk about zitto talk about presidential position ,zitto did not deserve to be deputy general secretary,thats why in 2009 he contested chairman position .
So your free to offer that position to your ghost john heche or anyone you want!
Hahahaa!poor mind!
Entired mind can not provide a wise decision!
 
Magamba wamealikana kila kona kuja kutoa mapovu hapa Jamvini.Viongozi wa CDM mnapaswa kugundua kitu hapa.
 
Mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Ni mwanamke gani wa BAWACHA?

Juliana Shonza, halafu wewe una uwezo kuniambia nikae kimya humu JF sababu JF sio mali ya Chadema.
 
Juliana Shonza, halafu wewe una uwezo kuniambia nikae kimya humu JF sababu JF sio mali ya Chadema.

Molemo kakusahihisha vizuri sana Juliana Shonza siyo kiongozi wa Bawacha...!
 

ni ushauri wa kupembua tu vema na wala sio ugomvi, hongera kwa ushauri wako nafikiri vyombo vinalifanyia kazi
 

Heche anafaa kuchukua nafasi ya MBOWE au SLAA kabisa
 
ni ushauri wa kupembua tu vema na wala sio ugomvi, hongera kwa ushauri wako nafikiri vyombo vinalifanyia kazi

Nakushukuru mkuu wangu.Wala usijali kwani wote wanaotukana matusi hapa ni wafuasi wa Magamba.Kwa hiyo utagundua kwamba wafuasi wa magamba wanapinga ushauri huu kwa vile wanajua utawaumiza.Wanaelewa fika Dr Slaa atakuwa na msaidizi atakayelala vijijini huko kuimarisha chama huku Dr Slaa akitimiza majukumu makubwa ya kitaifa na kimataifa ndani ya chama huku akikiandaa chama kupokea madaraka kwa njia ya amani.
 
Hivi kumbe Slaa bado anasikika kwenye duru za siasa ya Tanzania?
 
Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Neno mwanamapinduzi limepoteza maana sasa Heche naye ni mwanamapindunzi.

Linamfaa mzazi wako.
Mbona umeishiwa sera kiasi hiki? Kama asubuhi unachangia kwa mtindo huu,itakapofika mchana si utatukana matusi humu.
Comment with smile, epuka jazba!

Mkuu Imany John hawa Mapunga Zeze kama Rejao, Ritz na zomba wasikufanye uilmwe BANN, By then tumewashaur Moods ku review Namna hawa jamaa walivyo register JF, Ikiwezekana wapimwe akili zao kwanza,
Haiwezekani wawe everyday wanachangia Matope especially kwa Threads ambazo haziwahusu
 
Last edited by a moderator:
hivi karibuni temeke sasa kagera MULEBA hivi karibuni mwenge DOGO ANATIMIZA KAZI AMBAYO VIJANA WALITEGEMEA WALLAH DOGO AKIENDELEA HIVI HILI NI JEMBE SAANA TATIZO VIJANA WENGI KWENYE CHAMA CHAO WANA HILA NA UKWAMISHAJI BADALA YA KUMPA NGUVU ILA DOGO KWA KWELI ANAFAA SANA KISIASA SABABU HANA UBWANA NA YUKO TAYARI SAANA KWA KAZI HUYU DOGO LEMA,MNYIKA,MREMA,WENJE,SUGU,NI HAZINA KUBWA ZA CHAMA KWA BAADA YA SLAA,MBOWE,KOMU, NA WENZAKE KUSTAAFU
 

Mkuu nakushukuru sana sana kwa picha hizi.Mungu akubariki sana!
 

Mkuu nakushukuru sana.Eti mambo ya CDM wao Magamba ndiyo washauri.Nadhani viongozi na wanachama makini wamenielewa.
 
Last edited by a moderator:
Zito atabaki kua Zito 2 hao watoto wanajaribu kuinga nyenendo zake hamna cha Heche wala Mnyika

soma pendekezo toa hoja za kupinga ama kukubali usianze jazba mwishoni utataka na kupigana huu ni ushauri wa kujenga chama tu si kwamba ndio maamuzi unapoamua kuchangia jf epuka ufb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…