Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

Gwanda zingine huwa zinaamka na HO.

Niliwahi kumwambia Zitto humuhumu JF, kwenye nyuzi moja zamani, "unapotea nguvu zako bure" hawa watu hawatokuthamini.
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenye akili timamu kweli anamfananisha Zitto ya huyo kilaza? Slaa mwenyewe hajafika kiwango cha Zitto.

Wanajifanya wamesahau zitto alipotaka kugombea uenyekiti mbowe aliposhikwa na tumbo la kuhara mpaka akapita mlango wa nyuma kuwaomba wazee wamzuie zitto kugombea,eti leo garasa heche anaweza kufit kwa zitto kichekesho sana, jamaa anawanyima usingizi kabisa pale cdm
 
Reimagine Redesign Reinvent the new leadership paradigm requires high conceptual aptitude and thinking outside the box. Zitto has it.
 
watu wakianza kuijadili position yako -- ujue moshi unaanza kufukuta.
 

Mbowe amshukuru mkwe wake yaani mzee mtei kusema siwezi kumwachia kampuni(cdm) mtu nisie mfahamu maana jamaa ilikuwa anavuta sigara muda wote na konyagi nyingi.
 

Kazi ya heche ndani ya chadema ni ukuhadi kama kutoa matamko ya kuhusu shibuda wakati urais wala haumuhusu.
 
Mbowe amshukuru mkwe wake yaani mzee mtei kusema siwezi kumwachia kampuni(cdm) mtu nisie mfahamu maana jamaa ilikuwa anavuta sigara muda wote na konyagi nyingi.

Kumbe mbowe mkwe wa mtei? Duh yaani baba mkwe alikuwa mwenyekiti akamuachi mkwe wake mbowe!!!? Nchi ya zaidi ya ya 40m population hakuonekana zaidi mkwewe tu? Mmmh maswali mengi kuliko majibu
 
Ukiona wafuasi wa Magamba hapa jamvini wameitana kila kona kuja jamvini kupinga hoja hii basi ujue ni Pendekezo muafaka kabisa.Hakuna Pendekezo lolote jema kwa CDM magamba wataliunga mkono hapa jamvini.Nawashauri viongozi wenye nafasi CDM wanaopita hapa jamvini wachukulie pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Kazi kubwa ya kujenga chama inayofanywa na John Heche ni Shetani tu anaweza kupinga.Naamini ni suala la muda tu utaamua jambo hili kwa maslahi mapana ya CDM.
 

Ni hoja nzuri kwa maslahi mapana ya chama.Naamini viongozi watalichukua pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Hongera mkuu kwa lengo lako zuri la kuimarisha chama zaidi.
 

Noted......!!!
 
Kumbe mbowe mkwe wa mtei? Duh yaani baba mkwe alikuwa mwenyekiti akamuachi mkwe wake mbowe!!!? Nchi ya zaidi ya ya 40m population hakuonekana zaidi mkwewe tu? Mmmh maswali mengi kuliko majibu

Akili za kunguni...
 

Kamwe Magamba hamtachagulia CDM viongozi.Subirini mwakani mtashangaa na roho zenu...
 
Gwanda zingine huwa zinaamka na HO.

Niliwahi kumwambia Zitto humuhumu JF, kwenye nyuzi moja zamani, "unapotea nguvu zako bure" hawa watu hawatokuthamini.

Ulimwambia kama nani wewe? Huwa mipango yenu mnapanga pamoja?
 
Last edited by a moderator:
huu uzi kuna watu wanatoa mapovu sana.Nawashauri mpunguze mnkari kwani mdau katoa ushauri tu na wala sio agizo.!

Mkuu wanaotoa mapovu wote ni wafuasi na vibaraka wa Magamba na wanaounga mkono pendekezo ni CDM.Kwa hiyo unaweza kusoma btn the lines...!
 
Siungi mkono hoja kwa sababu zifuatazo kwanza watu hawawezi fanana chama lazima kiwe na watu wenye uwezo tofauti katika utendaji kuna wele ambao ni wazuri kwenye field kama henche na kuna wale ambao ni wazuri katika mikakati na mipango hivyo ni si busara et kwakuwa henche anakuwa field muda mwingi basi awe katibu mkuu msaidizi.
 

Viongozi CDM shikilieni hapohapo.Huyu ni Gamba anawapa ushauri.Magamba wameshtuka mno na hili pendekezo.Wamegundua mwisho wao umekaribia.
 
Alitoa tamko akilani kauli ya Shibuda kugombea urais, yule Mwanamke wa BAWACHA akapingana naye akamwambia Heche usipende kuropoka hovyo.

Mkuu kama hujui kitu kaa kimya.Ni mwanamke gani wa BAWACHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…