TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Kama tunataka tutoke hapa tulipo lazima tukubali kufumba macho na tuweke huruma na unafiki pembeni ili kuchukua maamuzi magumu.
Ifike wakati masuala ya kubembelezana wakati mtu anaonekana wazi amefanya makosa sasa yaishe kama tunahitaji kujenga nchi. Wenzetu wachina walifanikiwa baada ya kuweka sheria kali kwa watu wanaokwamisha maendeleo ya nchi kama vile mafisadi na wavivu.
Haya makubaliano ya kimataifa ambayo tunasaini kila leo yamekuwa fimbo kwa baadhi ya watu wasio na nia nzuri na nchi yetu.
Inasikitisha kumuona mtu ambaye ni fisadi sasa ni kiongozi ndani ya mhimili wa serikali tena wenye mamlaka ya kutunga sheria. Tuweke tifauti zetu pembeni kama yunahitaji kuisaidia nchi hii.
Tukosoane kwa staha.