Hapo sijaelewa kama unamzungumzia JK au JP, kama ni JP naunga mkono hojaKwa kweli anazo sifa zote, tuachane na hizi siasa za kimagharibi awe tu mfalme wa Tanganyika akisaidizana na machifu wengine kama mtemi Chenge wa Unyantuzu waunde baraza la machifu.
hapana huyo mheshimiwa mwenye joho jeupe anaitwa Mtwa Adam II, chifu wa wahehe.Hapo sijaelewa kama unamzungumzia JK au JP, kama ni JP naunga mkono hoja
Halafu nchi yetu iwe ya kiislamu maana maaskofu wetu wanatuangusha sana, naunga mkono hojahapana huyo mheshimiwa mwenye joho jeupe mkuu