Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,071
Mizaha mizaha itatumbua usaha, tusilee ujinga na upuuzi hadharani, hayo mambo tukiendelea kucheka nayo ipo siku, tena sio nyingi tutavuna mabua. Taifa linawapa kiburi na jukwaa pana na kubwa mnoo isivyopaswa kisa waliwahi kufanya mizaha mbele ya mheshimiwa rais.
Hao wasanii, kwa nature ya kazi zao, wapo tayari kusema, kuigiza, kuimba au kufanya kitu chochote ili kutafuta attention (kick), kushangiliwa na kusikika (trend), na huenda 99% yao hawakuwa kwenda shule rasmi ya sanaa wanayoifanya ili kujifunza misingi, miiko na kanuni zinazotawala sanaa kiujumla.
Ukicheka na mbwa atakufuata mpaka msikitini!