Mkuu Salary slip, huwa ninahisi wewe ni mwanachadema halisi, if that's true, dont be fooled.
Zitto na timu yake ni waasi waliokula kiapo kukwamisha CHADEMA, na wanafanya hivyo kisayansi, ukifuatilia vizuri hakuna mtu aliyeomba msamaha. Wote ni wasanii tu, Zitto anapotosha kwa makusudi sababu za kuadhibiwa kwake, anataka kuhadaa uma kuwa sababu ni kutaka CHADEMA ikaguliwe, kwani yeye ni CAG mpaka wamkasirikie na kumfukuza?, kwani yeye hajui kuwa CHADEMA haiwajibiki kwa kamati ya bunge bali kwa msajili wa vyama vya siasa?, CHADEMA kutokaguliwa ni kosa la CHADEMA au la mkaguzi?, kama CHADEMA haijajiandaa kwa ajili ya kukaguliwa, yeye kama Msaidizi wa mtendaji mkuu sio sehemu ya tatizo?, kuna hoja gani hapa mpaka afukuzwe kwa hoja mfu kama hiyo?.
Kitila nae anajichanganya na ni mnafiki mkubwa, anakiri kuandaa waraka wa siri wa kuhujumu chama, halafu anakiri kuwa waraka ule umekiuka misingi, taratibu, kanuni na katiba ya chama halafu anajifanya kana kwamba ameonewa, na kwa dharau anakejeli kamati kuu kuwa haina uwezo wa kumfukuza, bado mtu kama huyu unataka abaki chamani.
I wont be proud of CHADEMA until these thugs are expelled from the party.