Penda unapopendwa! Ushuhuda wangu.

Penda unapopendwa! Ushuhuda wangu.

ye mwenyewe anajua kuwa alinipenda na bado ananipenda ndo maana nikimuomba nikutane naye hata mazungumzo yanabadilika. Hataki kabisaaa kusikia kukutana na mimi aafu sasa hivi tuko mikoa tofauti.
Kua mkoa tofauti sio issue mfuate huko aliko omba likizo . Ni muhimu kumuwahi kabla hajaolewa baadae usije kuja tena jf kusema unaendelea na uhusiano na X wako wakati ameolewa. Ni muhimu ukamfuatila na kujaribu karata ya mwisho make sure unamfuatilia mpaka mnaonana , ili muweze kuongea uso kwa uso. Ukimpoteza utakuja juta aisee tumia nafasi hii kabla hajaolewa so long anakupenda .
 
Ukipata mwanamke na ukagundua kwamba anakupenda kwa dhati hata kama hukuwa unamfikiria kuwa mkeo usichelewe fanya kweli faster!

Wanawake wengi wa vyuoni wana pretend kumpenda mtu katika jitihada za kutaka kugangaa njaa zao! Wenye mapenzi ya kweli ni wachache sana.
 
Ukitenda lazima utendwe #jaman kumwamin mwanamke wa chuo ni majanga makubwa I have the same story

yah, ndugu hawa watu ni pasua kichwa kweli! Lakini bado hata huyo wa mwanzo alikuja kuwa mwanachuo hivyo ni baadhi ya wenye tamaa wanaamua kuwa hivyo. Wanawake wengi wanabahatisha kwenye maisha yao hasa akiwa desparate na kuolewa.
 
Kua mkoa tofauti sio issue mfuate huko aliko omba likizo . Ni muhimu kumuwahi kabla hajaolewa baadae usije kuja tena jf kusema unaendelea na uhusiano na X wako wakati ameolewa. Ni muhimu ukamfuatila na kujaribu karata ya mwisho make sure unamfuatilia mpaka mnaonana , ili muweze kuongea uso kwa uso. Ukimpoteza utakuja juta aisee tumia nafasi hii kabla hajaolewa so long anakupenda .

nashukuru kwa ushauri wako. Ila nilishaenda mkoa huo akagoma kabisa kukutana na mie. Na kwenye maongezi yetu anapendelea tuwe tunaongea kama mtu na dada yake. Ntaendelea kujaribu, ila dah!
 
Fact: x inatumika zaidi kwenye hesabu kuliko kwenye habari/sentensi za kawaida.

na ni herufi ambayo hutumika zaidi kama unataka kuficha identity ya mtu.
 
Mzee, au 'dark forces' zilikuingia akilini! ukaacha mbachao kwa msala upitao!
 
Mzee, au 'dark forces' zilikuingia akilini! ukaacha mbachao kwa msala upitao!

mkuu nilijikuta tu nimezimika kwa yule demu mwingine kumbe ya hana mpango na mie.
 
Pole sana mkuu, they say u dont know wat u have lost till its gone..!
 
umeona maumivu yake
ulivyomuacha mwenzio
na huyo ndio alikua mkeo hehehee!
tembea kwa magoti kamuangukie x!!
 
Back
Top Bottom