Ile ya Pirlo jana usiku ilikuwa noma. Yule mzee balaaa. Nyingine mbaya ilikuwa 1994 fainali kati ya Brazil na Italy- Roberto bagio alikosa penati muhimu mno
Hurt should have done better
yule alikuwa helder postiga arifu....alipiga penalty almaarufu panenka style dadadadadeki,.......decco alishangilia balaaa..wakati scolalri alidata maana ilikuwa penati za mwisho mwisho....Kwa mara ya tatu kwa macho yangu nashuhudia penati za hatari, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2004 robo fainali ya EURO kati ya URENO na ENGLAND sikosei alikuwa SIMAO SAMBROSA alifunga penati ya hatari ya pili alifunga ROBEN VAN PERSIE RVP mwaka huu nahisi ilikuwa mechi na WOLVES na ya tatu nimeiona jana ANDREA PIRLO "FUNDI" akifunga penati nyingine ya hatari dhidi ya ENGLAND hebu nikumbushe na wewe uliziona penati ngapi kama zile? 2 minutes
ile penalti ya jana ya pirlo mara ya mwisho ilipigwa 1976 nadhani na jamaa mmoja anaitwa antonini pananka...ni kama ile ya jana ila pirlo jana aliiboresha zaidi na sasa imebatizwa jina la ''falling leaf''.... mpira ulivyokuwa inaenda wavuni ni mithili ya
jani linavyodondoka toka kweny mti..(jinsi mpira ulivyokuwa unazunguka)....jamaa ni noma
Dah!..Ebwanaae...Heshima kwako kiongozi.ile Penati hata makipa wangekuwa wawili wasingedaka
buhahahaaah!acha kunivunja mbavu mkuu G.Cile Penati hata makipa wangekuwa wawili wasingedaka