bado natafakari sana ule upigaji ingekua Nigeria au Kenya tungesema wapo kwenye mgomo
Shafh dauda?Na hakuna mtu au chombo cha habari kilichokosoa hadharani upigaji ule wa penalti wa kizembe, dharau na majivuno
nimeipenda hiiBora ni Samatta alikosa!!!....angepiga mchezaji mwingine akakosa tungesema MBONA hakupiga Samatta???
Eti bwana eeh! ....hata mimi naona kama jamaa aliichukulia poa! Hakukanyaga nyasi vizuri pale alipoweka mpira, huku alitaka kufunga nyavu za juu!!!Na hakuna mtu au chombo cha habari kilichokosoa hadharani upigaji ule wa penalti wa kizembe, dharau na majivuno
Kukosa penati hiyo kuliwatoa wachezaji mchezoni huku mashabiki wakinyong'onyea maana walishindwa kuamini aliyepiga ni Samatta au Abdi Kassim (Barrack wa Unguja aliyekuwa anapiga penati Kizenji)!Eti bwana eeh! ....hata mimi naona kama jamaa aliichukulia poa! Hakukanyaga nyasi vizuri pale alipoweka mpira, huku alitaka kufunga nyavu za juu!!!