Pembejeo za kilimo {VOCHAR} | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pembejeo za kilimo {VOCHAR}

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ombeni w lema, Mar 8, 2011.

 1. O

  Ombeni w lema Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi pembejeo za kilimo zinazo tolewa nchini!ni matatizo tupu.mkoa knjaro wilaya ya HAI MACHAME MASHARIKI 50% ya wajane yatima wamekosa.na nimojawapo ya watu wenye mashamba.chakushangaza,30% ya wasio kuwa na mashamba ndo wamepata ruzuku.nauliza je tutafika?ufisadi mpaka kwa wenye viti vs makatibu,Daah.
   
Loading...