"Pembe la ng'ombe linaongea!!"

"Pembe la ng'ombe linaongea!!"

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
katika kuhangaikia uzima, Ndungu yangu mmoja amejikuta akielekezwa kwa Mganga wa jadi. amerejea ananieleza kuwa Mganga yupo Makini anatumia mizimu, kuna bibi na babu wanaongea kupitia kibuyu na pembe la ng'ombe. nimetafakari sana hii kitu, hivi Jamani haya mambo hapo kweli??..naona kama kuna utapeli..ila sijajua teknolojia gani inatumika hapo.

==============
update

imenilazimu kufuatilia kwa kina suala hili na tayari Mganga husika nishamtia mkononi. Ni Miongoni mwa matapeli nguli hapa mjini. Hakuna lolote ni udanganyifu tu. Naweka picha yake hapa ili mchukue tahadhali kubwa, kuna chain ya matapeli. Msishawishike na vibao vya matangazo ya waganga wa jadi mkiviona barabarani.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    218.9 KB · Views: 78
  • image.jpg
    image.jpg
    175.8 KB · Views: 77
  • image.jpg
    image.jpg
    217.2 KB · Views: 77
  • image.jpg
    image.jpg
    161.8 KB · Views: 71
Jaribu kwenda na wewe ulete mrejesho... mimi nitasema hayapo kwa kuwa siamini hayo makitu
 
Wanawekaga powerful microphones kwenye hayo mapembe
 
katika kuhangaikia uzima, Ndungu yangu mmoja amejikuta akielekezwa kwa Mganga wa jadi. amerejea ananieleza kuwa Mganga yupo Makini anatumia mizimu, kuna bibi na babu wanaongea kupitia kibuyu na pembe la ng'ombe. nimetafakari sana hii kitu, hivi Jamani haya mambo hapo kweli??..naona kama kuna utapeli..ila sijajua teknolojia gani inatumika hapo.

==============
update

imenilazimu kufuatilia kwa kina suala hili na tayari Mganga husika nishamtia mkononi. Ni Miongoni mwa matapeli nguli hapa mjini. Hakuna lolote ni udanganyifu tu. Naweka picha yake hapa ili mchukue tahadhali kubwa, kuna chain ya matapeli. Msishawishike na vibao vya matangazo ya waganga wa jadi mkiviona barabarani.

Safi sana..! Nimekuwa na Sikh ngumu leo kwa ajili ya watu kama hao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom