Pemba yaongoza kwa umasikini Zanzibar

Mimi hili huwa linanichanganya sana, maana wasomi wengi wa ki-zanzibar asili yao ni Pemba na hata wenye majina na uwezo wa Kifedha wanatoka huko lakini still ukifika Pemba utafikiri upo kijijini kwetu Ilalwa-nsimba ,wilaya na Nzega Tabora.

Kubwa kabisa linalonikera ni kujisikia sana kwa hawa watu na kutuchukia bila sababu za msingi Watanganyika, sijui huwa wakoje na tabia yao wanatuonyeshea hata watu tukikutana nje ya Tanzania. What is the problem with you Pemba people???
 
Back
Top Bottom